Kuna jamaa yangu kaitwa na hii kampuni kwnd kufanya interview lkn anadetail zozote,wanaJF naomba km kuna mtu yeyote alishafanya kazi na hii kampuni....nawakilisha!
Hili swali kwa wale wote wanakwenda kwenye interview linawasumbua sana,na asilimia kubwa watu wanalipwa mishahara midogo kwa kuboronga swali hili.nawasilisha hoja tujadili majibu mazuri ya swali...
kiwanja kinauzwa kwa pei poa kabisa, kipo Kongowe ya Dar es salaam maeneo ya Kilungule.
kwa mawasiliano tumia namba 0753820584 au 0713135070.
Bei ni 2.2M. Bora ukawasiliana na mimi kuliko...
Nime maliza chuo kikuu mwaka huu nipo hapa dar naombeni kama unaweza kunipa kazi hata kwa kuanza na hicho
kidogo ntardhika .nimesomea shahada ya sayansi ya jamii katika historia .0685510963
habari wanajamii
natarajia kuanza likizo kuanzia tar 16 December hadi tar 10 Januari. Nitakuwa Iringa kwa kipindi chote hicho, hivo nahitaji kufanya kazi yoyote inayoendana na fani za habari...
Karibu jfasta.com, mtandao unaokupa taarifa za nafasi za kazi, tenda, taarifa za kuitwa kwenye usaili/kazini , n.k. Kila siku tunarusha taarifa mpya za kazi. Tutembelee kila siku na kila mda...
Natafuta mtumishi wa serikali wa kubadilishana naye kituo cha kazi,Mimi ni mwalimu wa sekondari mkoa wa Mara-wilaya ya Serengeti,Anayetaka kubadilishana awe anatoka kati ya mikoa...
Habari wana JF, Poleni wasaka Job
1. Hakikisha unachakachua kidogo jina lako lifanane na kiongozi flani serikalini eg: Lughembe = Maghembe
2.Hakikisha unajifanya mgeni hapa Tz, na unatokea ether...
Are you interested in joining an international organisation with a long-term commitment to fighting poverty? Would you like to work in a challenging environment to develop a career focused on...
Ndugu watanzania wenzangu: Kwa muda wote ninapokwenda Kampala huwa nachunguza sana kuhusu nafasi ya Mbongo katika mji huo wa kibiashara. Jambo kuu nililoiona kuhusu fursa ya kazi kwa mtanzania ni...
Tuwafikie Tanzania Organisation is a non profit, non Govement organisation dealing with education development to young people.
We are looking for qualified individuals to work as project...
Recruitment ProcessDo You Have What It Takes?
By now you should have a fairly good idea about what PwC really means. Remember that at PwC we never lose sight of the fact that it is our people...
Mimi ni mvulana wa miaka 26 nimemaliza mwaka chuo UDSM degree ya sayansi ya jamii katika historia yaani Bachelor of arts in history.sasa naombeni msaada km kuna mtu anaweza nisaidia kupata kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.