Tazama hapa pia naomba unisaidie

makua

JF-Expert Member
Dec 9, 2013
210
195
Habar wana jf..
Nimehitimu records management (mtunza kumbukumbu) ngazi ya cheti mwaka 2011 chuo cha Utumishi wa Umma na nina uzoefu wa miezi 11 kufanya kazi za masjala,

kwa sasa nipo tu mtaani nahaha kama hiv kutafuta ajira/kibarua chochote au nafasi ya ku-voluntee kwenye ofisi yeyote

Naish Dar es salaam

Ahsante
Nawasilisha.
 

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,245
2,000
nakushauri kama ulivyoandika hapa basi pita kwenye ofisi zenye kuhitaj watu wa aina yako kama vile mahakama, takwimu ardhi, maktaba and the like
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,446
2,000
Ofisi zozote za Serikali ku-volunteer ata hawasumbui. Ila kuna uwezekano ikawa 0 payment kabisa.

So, try to submit your application letter and CV in one of them.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom