Naomba ushauri

Naomba ushauri

Pate_15

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
156
Reaction score
48
Habar,
Katika kuhangaika kwangu juu ya utafutaji wa ajira/kibarua, nilikuta tangazo la ajira linahitaj muuzaji na supervisor wa supermarket...sababu nahitaji nikachukua namba za simu,nikawapigia ndipo nkaambiwa nafasi zimejaa na masaa machache baadae watu wanafanya usaili hivyo kama nahitaji nitoe tsh.laki mbili ili nijipatie ajira hiyo.

Sasa naomba niwaulize hii ikoje?

Nawasilisha
 
Nilimwambia namtafutia pesa ila nikimpa ,anipe kazi na risiti ya malipo...akaniambia sipo siriasi.
 
Habar,
Katika kuhangaika kwangu juu ya utafutaji wa ajira/kibarua, nilikuta tangazo la ajira linahitaj muuzaji na supervisor wa supermarket...sababu nahitaji nikachukua namba za simu,nikawapigia ndipo nkaambiwa nafasi zimejaa na masaa machache baadae watu wanafanya usaili hivyo kama nahitaji nitoe tsh.laki mbili ili nijipatie ajira hiyo.

Sasa naomba niwaulize hii ikoje?

Nawasilisha
hapa hakuna kazi toka nduki vibaya.
 
Aisee,hiyo laki mbili ni bora ukaanzia hiyo hiyo kufanyia ujasilia mali..
Usitoe hata shilingi moja.
 
Back
Top Bottom