Kijiti Senior Member Joined Apr 24, 2011 Posts 190 Reaction score 27 Dec 11, 2013 #1 hello fans, hiv naombeni kupewa taarifa kuhusu hawa jamaa wanaojiita geco. Nawasikia tu,siwajui wanafanya shuguli gan. Naombeni msaada,nawasilisha.
hello fans, hiv naombeni kupewa taarifa kuhusu hawa jamaa wanaojiita geco. Nawasikia tu,siwajui wanafanya shuguli gan. Naombeni msaada,nawasilisha.
H Hardman JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 750 Reaction score 526 Dec 11, 2013 #2 Kijiti said: hello fans, hiv naombeni kupewa taarifa kuhusu hawa jamaa wanaojiita geco. Nawasikia tu,siwajui wanafanya shuguli gan. Naombeni msaada,nawasilisha. Click to expand... Hao ni wastahiki land surveyors
Kijiti said: hello fans, hiv naombeni kupewa taarifa kuhusu hawa jamaa wanaojiita geco. Nawasikia tu,siwajui wanafanya shuguli gan. Naombeni msaada,nawasilisha. Click to expand... Hao ni wastahiki land surveyors
MBOOYA JF-Expert Member Joined Jul 11, 2012 Posts 289 Reaction score 37 Dec 12, 2013 #3 Matapeli wakubwa hao.. Wanataka alfu 35 kwa mpesa ndo uajiriwe? Kwa nin wasitoe deal afu waikate kwene mshahara?
Matapeli wakubwa hao.. Wanataka alfu 35 kwa mpesa ndo uajiriwe? Kwa nin wasitoe deal afu waikate kwene mshahara?