Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Tangu nimalize chuo sasa yapata ni miezi miwili,taaluma yangu ni Electrical Installation,baada ya kumaliza chuo nikaomba nafasi kwenye kampuni kama mbili ivi nafasi ya kuvolunteer....Lakini mpaka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
habari zenu wadau wote wa jukwaa la ajira! mi napenda kushare nanyi mawili matatu katika utafutaji wa ajira. ni kweli ajira zimekuwa shida sana nchini ukizingatia mfumo wetu wa elimu unatuandaa...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Kampuni moja ya kigeni inatafuta accountant mwenye sifa zifuatazo. Awe ana degree ya accountancy si advanced diploma Awe mwanamke Kwa vile kazi atafanya Kilimanjaro awe mtu wa huko preferably...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana salama jamani,nimemaliza chuo kwa sasa nipo kitaa tu,fani yangu ni fundi umeme,naombeni msaada jamani wa kupata japo nafasi ya kuvolunteer kwenye kampuni yoyote ile na vilevile wale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu.... Kuna mdada kaomba nimuweke humu, lengo lake.. Anatafuta kazi yeyote hata msaidizi wa ndani (house girl) anamudu kufanya kazi hiyo...yuko tayari hata kuishi hukohuko job au kurudi...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari wana jf mimi ni binti mwenye umri wa miaka 27 natafuta kazi arusha nina degree ya socialwork kutoka chuo kikuu cha dar es salaam kwa yoyote atakaeskia plss anijuze asanteni.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za mchana wadau, natumai Mungu anatenda. Nina ombi moja tu kwenu kaka zangu, dada zangu, mama zang na baba zangu naomba yeyote anayeweza nipa kazi ya kujitolea nimesomea mambo ya manunuzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kijana wa kiume, umri miaka 17, Elimu yake darasa la 7, kabila Mzigua, anaishi Mikocheni. Anatafuta kazi yoyote ile halali yenye kumuingizia kipato. Ana uzoefu wa kuuza duka la reja reja na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari zenu poleni na kazi,mimi natamani sana kufanya kazi standard charterd au stanbic bank na honestly cjawahi kuona wametangaza kazi zao nisaidieni nifanyeje msaada wenu tafadhali asanteni.
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Naomba mnisaidie ofisi ya campuni ya Nokia iko sehemu gani na man power angency
0 Reactions
2 Replies
1K Views
lini nafasi zinatoka mwenye kufahamu
0 Reactions
11 Replies
5K Views
.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani natafuta kazi katika jiji la Mbeya. Ikiwa part time itakuwa poa. Ni Electrician mwenye fani ya Electronics na Telecom pia.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ENTERTAINMENT TEAM 1. On screen talent (Hosts for talkshow and music show); 3 posts 2. Production Manager; 1 post. 3. Reseachers; 2 posts 4. Production assistant; 1 post. 5. Visual Editor; 1 post...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
nimekutana na hii website inayotoa ajira, naomba wadau muangalie halafu mniambie kwa wenye uzoefu inafanyaje kazi. JobofWork.com Home base internet job - 3000$ per month earning.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada wadau, nani anizifahau zilipo office za tpdc za zamani hapa dar es salaam?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
masters an dded advantage, experience five years..... unajiskiaje labda wewe kijana uliyomaliza chuo?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Professional college of njombe invites all tanzanians who have vocational skills to apply for the vacancies announced. Read the pdf file attached.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman wandugu naomba kufahamu kama Efc wameita watu kwa ajil ya written interview
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Positions are available for two sales and marketing executives to take up immediate assignments in the sector of advertising and another in education (Dar es Salaam). Successful candidates (both...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom