Msaada wa kazi ya udereva leseni class A, B,C,C1,C2,C3,D, & E.

F.c.mwanzi

Member
Apr 1, 2013
65
0
Wadau,habari zenu nina kaka yangu anaitwa Raphael Omwanda ana miaka 33.anatafuta kazi ya udereva ana leseni kubwa ya kuendesha magari yote kama Heavy duty truck (magari ya mizigo, bus,na gari binafsi leseni ameipata katika chuo cha VETA Mwanza.Ameoa na ni baba wa watoto wawili kwa sasa anaishi chang'ombe dar es salaam,ana uzoefu wa zaidi ya miaka 6 na Anawadhamini wa uhakika pia yupo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.Kwa aliye guswa anahitaji msaada wako Mawasiliano yake ni 0756 352 104 au 0788 918 347.
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,528
2,000
Aende Lake Oil,bakhresa,world oil,wanatafuta sana madereva wa malori!kwa serikalini yafaa apate TEST TRADE ZA MECHANICS
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom