Ndugu zangu salaam sana
Nimeamua kwa akili zangu mwenyewe kuishi na mwanamke kabla mwaka huu haujaisha
Ila kama tujuavyo huko enzi na enzi hawa wanawake wa kimachame walijulikana kama...
1. Wanawake wazuri (warembo)
Hawa ni wale wanatumia uzuri wao kama njia ya kujipatia kipato ukioa hawa, hakikisha unakua na fedha kila wakati
2. Wanawake waliosoma ngazi za juu za elimu mf...
Umri wangu bado nipo 20s nina kijana wangu wa miezi6 nampenda japo sio sana.. sijajua kama atanioa ama la,
Miezi kazaa nikiwa kazini kwangu alikuja mzee wa makamo yaani umri wa baba angu mdogo…...
Nyie mnaotaka kuingia kwenye ndoa mnapoambiwa shinda na raha sio Kila shida na Raha mnaweza kuvumilia.
Kuna mambo madogo yanaweza kusababisha shida na Raha kuwa ugomvi.
Msimu huu wa mfungo...
Hapo unaambiwa mtu alifariki watu wakashindwa kumtambua kwasababu sura na sehem zingine za juu, ila dushelele ikawa haijaharibika inaonekana vizuri.
Unaambiwa mwana mama huyooo akaangalia...
Ni kama jini si jini!,labda niseme mzuka lakini ni mzuka gani unawezakuwa mzuri kiasi kisichoelezeka..??!
Kufupisha mambo sitasimulia nimekutananae vipi ila baada ya majuma kadhaa yakuzoeana...
Huyu Mwanamke alikua ni Ex wangu wa muda tu, ndo mpenzi wangu wa kwanza kipindi naanza chuo 2019, tupo mwaka mmoja wote.
Sikupata tabu sana kumpata maana alianza kuonesha dalili za kunipenda...
Huenda wewe ni miongoni mwa vijana wanaokaribia kuoa au kuolewa lakini haulewi ni mtu wa namna gani wa kuingia nae kwenye ndoa.
Mbali na kuangalia uzuri wa sura, umbile, kipaji au hali ya...
-Ni aibu na fedheha kuishi na mwanamke ambaye wakwe zako wanajua kuwa anakuzidi uwezo.
- Ni aibu na fedheha kupewa zawadi ya kiwanja na wakwe zako siku ya send off/Harusi.
- Ni aibu na fedheha...
Mbele yangu nnatuzamana na mwanamke wa kimasai...
Ni mrembo jamani
Yuko natural
Mtoto mrefu kama ngusoo
Shingo yake ina mistari na kama mafuta hivi
Kwa hakika muumba anaumba 🙌🏻
Macho yake...
Habari Za Leo Ndugu Zangu.
Mimi ni Mwanaume
Natafuta MCHUMBA Ambaye baadaye Tunaweza Kuwa Mume na Mke.
SIFA ZANGU.
1. Elimu Chuo
2. Umri Miaka 28
3. Nimeajiriwa
SIFA ZA MCHUMBA
1. Awe...
Mtu unaamua umuonee tu huruma ilimradi na yeye asitirike, cha ajabu unakutana na lugha chafu kutoka kinywani mwake. Ni mzuri baasii, basi tu. Shepu hakuna, sauti kama ya mwanamke aliyetokea kijiji...
PENZI LA MWANA WA BOSI
(sehemu ya kwanza)
1
Nipomaliza la saba, litorokea mjini,
Mguuni nina raba, na kibegi mgongoni,
Nauli ninayo haba, nimeweka mfukoni,
Penzi la mwana wa bosi, menitia...
Kwema wakuu!
Kama swali linavyoeleza.
Kwa upande wangu naona sisi wanaume ndio mabingwa wa kuharibia wanawake maisha. Kwenye wanawake kumi basi tisa wameharibiwa maisha na wanaume.
1. Kutia...
Penzi letu la zamani, lilikuwa ni la dhati,
Tulikutana mtoni, kuipanga mikakati,
Halikuwa la kihuni, lisilo la kisaliti,
Penzi letu la zamani, lilikuwa ni la dhati.
Tulikutana porini, tunapookota...
Ni nadra sana mkaka aliyetulia kumkuta anatapanya hela kwa kutoka out na mdada asiye mkewe.
Ila kuna hawa wakaka wahuni wanaojua kucheza na akili za wadada wakurupukaji.
Huwatoa out na kuvinjari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.