Kwenye ndoa tuvumiliane shida na raha

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,742
Nyie mnaotaka kuingia kwenye ndoa mnapoambiwa shinda na raha sio Kila shida na Raha mnaweza kuvumilia.

Kuna mambo madogo yanaweza kusababisha shida na Raha kuwa ugomvi.

Msimu huu wa mfungo ramadhani nimepokea mwaliko wa futuru kwa rafiki yangu, misosi ya Kila aina.

Baada ya kutoka kwake nikaenda kusukumizia na bia mbili za baridi sasa kurudi nyumbani kumbe tumbo lilikuwa lina akiba kubwa ya chakula.

Nimeingia chooni tena cha self yaani leo usiku huu shida na Raha naona mke kakasirika na jinsi hewa ilivo nzito.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom