Mlio oa au kudate na wanawake wa kimachame njoeni hapa tufarijiane ndugu zangu

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu salaam sana

Nimeamua kwa akili zangu mwenyewe kuishi na mwanamke kabla mwaka huu haujaisha

Ila kama tujuavyo huko enzi na enzi hawa wanawake wa kimachame walijulikana kama wapalestina na ukienda huko kwao nyumba nyingi utakuta zinamakaburi ya wazee waliotangulia mbele za haki huku wakiwaacha wake zao wakichezea pension na mali walizo zitafuta kwa shida

Ndugu zangu mimi na mwanamke wa pande hizo hizo ila kinachoniweka njia panda ni hii historia yao ngumu sana ya vizazi vilivyo pita

Huyu wangu yupo hivi

1: Haongei sana ni kidogo tuu kamaliza kuongea na muda mwingi ni mkimnya sana

2: Hana anachokipenda ila anavyo avichukiavyo ikiwemo dharau, kutokuheshimika na mwanaume kutokujiheshimu

3: Anapenda dini sana na muda mwingi atakuambia napenda mtu mwenye hofu ya Mungu mengine ni majaliwa kupata na kukosa kupo na ndivyo maisha yalivyo

4: Hawezi angaliana na mimi machoni kabisa muda mwingi anaangalia pembeni kama mwanamke mwenye aibu/ asiyejiamini

5: Haombi hela kabisa hata iwaje haombi hela mpaka na mshangaa mwenyewe

Nb. Napata amani sana niwapo nae ila napata tishio tena la nafsi nikigundua historia ya hili kabila lao mchaga wa kimachame

Mlio oa au kudate na hawa viumbe njoeni hapa tufarijiane isije ikawa ni mimi najichanganya tuu kwa hofu zangu mwenyewe
 
2: Hana anachokipenda ila anavyo avichukiavyo ikiwemo dharau , kutokuheshimika na mwanaume kutokujiheshimu

3: Anapenda dini sana na muda mwingi atakuambia napenda mtu mwenye hofu ya Mungu mengine ni majaliwa kupata na kukosa kupo na ndivyo maisha yalivyo

4: Hawezi angaliana na mimi machoni kabisa muda mwingi anaangalia pembeni kama mwanamke mwenye aibu /asiyejiamini

5: Haombi hela kabisa hata iwaje haombi hela mpaka na mshangaa mwenyewe

Nb. Napata amani sana niwapo nae ila napata tishio tena la nafsi nikigundua historia ya hili kabila lao mchaga wa kimachame

Mlio oa au kudate na hawa viumbe njoeni hapa tufarijiane isije ikawa ni mimi najichanganya tuu kwa hofu zangu mwenyewe
kikubwa anakupa furaha na mnapendana usiwaze kuhusu kabila lake,tukisema kila kabila tufatilie kiundan zaid hatutaoa kikubwa tambua ndoa zinachangamoto zake nyingi san kuwa tayar kukumbana nazo kikubwa mwambie bibie awe mvumilivu zaid ktk maisha isije ikatokea siku ukakosa akanuna au kujutia ndoani
 
Screenshot_20240306-180625.png

Binti wa Kimachame
 
Acha uoga mkuu kabila halina mchango sana kwenye tabia za mtu, ili mradi umejiridhisha yupo sawa,mnapendana na kuheshimiana that's what matters.

Kila lakheri kwenu
Kabila lina mchango sana kwa tabia ya mtu, hasa kama amekulia kijijini kwenye chimbuko la kabila lile. Tabia zinaathirika sana na makuzi, mila pamoja na mazingira uliyokulia.
 
Ndugu zangu salaam sana

Nimeamua kwa akili zangu mwenyewe kuishi na mwanamke kabla mwaka huu haujaisha

Ila kama tujuavyo huko enzi na enzi hawa wanawake wa kimachame walijulikana kama wapalestina na ukienda huko kwao nyumba nyingi utakuta zinamakaburi ya wazee waliotangulia mbele za haki huku wakiwaacha wake zao wakichezea pension na mali walizo zitafuta kwa shida

Ndugu zangu mimi na mwanamke wa pande hizo hizo ila kinachoniweka njia panda ni hii historia yao ngumu sana ya vizazi vilivyo pita

Huyu wangu yupo hivi

1: Haongei sana ni kidogo tuu kamaliza kuongea na muda mwingi ni mkimnya sana

2: Hana anachokipenda ila anavyo avichukiavyo ikiwemo dharau, kutokuheshimika na mwanaume kutokujiheshimu

3: Anapenda dini sana na muda mwingi atakuambia napenda mtu mwenye hofu ya Mungu mengine ni majaliwa kupata na kukosa kupo na ndivyo maisha yalivyo

4: Hawezi angaliana na mimi machoni kabisa muda mwingi anaangalia pembeni kama mwanamke mwenye aibu/ asiyejiamini

5: Haombi hela kabisa hata iwaje haombi hela mpaka na mshangaa mwenyewe

Nb. Napata amani sana niwapo nae ila napata tishio tena la nafsi nikigundua historia ya hili kabila lao mchaga wa kimachame

Mlio oa au kudate na hawa viumbe njoeni hapa tufarijiane isije ikawa ni mimi najichanganya tuu kwa hofu zangu mwenyewe
Mke ni wa kwako siyo wa JamiiForums ndugu yangu, ukiona unafikia hatua ya kutaka Sisi tukuchagulie mke unatupa walakini mkubwa, wewe ndie unajuana vizuri na huyo mwenzio.

Mwanamke mmoja akiwa na sifa mbaya haimaanishi kuwa wote wapo hivyo! Sasa wewe endelea kuomba kuchaguliwa mke
 
Back
Top Bottom