Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hellow, Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua. Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Salaam,Shalom!! Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake, Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na...
55 Reactions
362 Replies
17K Views
Habari za muda huu masista duu, mabrazamen, mafazamen and mamazawumeni. Natumai mpo salama na ni wa zima wa afya plus mahangaiko ya hapa na pale Sasa wakuu wangu mimi ni kijana ambaye bado...
13 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama uko mwenyewe mwenyewe hilo ni tatizo, au mwenzako yuko mbali na wewe, hilo nalo ni tatizo pia; kwa kifupi hayo sio maisha. Adam alipokuwa pekee yake, alitafutiwa msaidizi ili wakae pamoja...
8 Reactions
114 Replies
3K Views
Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya. Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani...
2 Reactions
16 Replies
821 Views
Kwa lugha ya malkia mnaita 'swaying'. Ni moja ya sanaa za kale iliyorithishwa kupitia mafunzo ya jando na unyago na mafunzo mengine yasiyo rasmi ndani ya makundi rika. Inahusu wandani wawili...
4 Reactions
7 Replies
526 Views
Naomba kujua wajuzi.
1 Reactions
12 Replies
871 Views
Natafuta dada au mama mtumzima chini ya miaka 35. Aliejiajiri au kuajiriwa. Mwenye Elimu yoyote kuanzia la saba. Awe na mtoto au asiwe naye. Awe serious na maisha. Mimi na miaka 40. Ni mkristo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Natafuta mchumba wa kike chini ya Miaka 28 Npo Dar Awe dini yeyote awe na kazi ya kujiingizia kipato Ili tusaidiane kimaisha Mimi Nina miaka 30..
5 Reactions
14 Replies
924 Views
Habari wakuu.... Huyu dada amekuwa rafiki yangu kwa kipindi cha muda mrefu huku tukijaribu kusaidiana kwa vitu vingi na urafiki wetu ulikuwa kama Tupo kwa mahusiano jambo la kunishangaza muda si...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Wakuu, Mwezi uliopita tulikuwa na ugomvi mkubwa sana nikadhamiria kabisa kuachana naye moja kwa moja. Baada ya kuomba msamaha sana, turudiane ikashindikana. Akameza vidonge lengo kujiua...
53 Reactions
275 Replies
14K Views
Sikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni vitu gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa na vipi vya kumfanyia? Which is the line of demarcation?
9 Reactions
90 Replies
4K Views
Yani. Uko On point kila mahala. School fees Family and relatives support Daily chores..domestics upo. On Bed even better.. Yani you are perfect. Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya...
8 Reactions
92 Replies
4K Views
Umufia kwenu wakuu, Kwa muda mrefu nilikuwa na uhitaji wa kuoa, ila nilikuwa na ugumu wa kumpata mwanamke. Katika harakati za hapa na pale mwaka huu nikampata mtu nikasema hiki chuma nakiweka...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Beware of women who don’t believe that a rat can bring condom into your house.
2 Reactions
1 Replies
357 Views
Shalom Hodi hodi jumapili! Mungu wetu ni Mungu Mkuu na wa ajabu sana. Sijui huwa inatokea vipi sio kwa hiari yangu but nahisi ni kitu inherent au kuna namna sielewi anejua Aya za bibilia au...
1 Reactions
2 Replies
471 Views
1. MKE SHEREHE (party wife) Hawa muda wote wanawaza sherehe na starehe tu, utawasikia kesho sendoff, birthday, graduation, mara kitchen party. Wako tayari kutumia hela ya chakula kwa ajili ya...
19 Reactions
118 Replies
6K Views
I hope y'all are doing just fine, and so Do I. Straight kwenye mada... #1: 4yrs ago kuna mtu (alikua muimbaji wa kigango fulani) hakua na mke wala kuishi na mtu yoyote...He was a loner. Akawa...
51 Reactions
236 Replies
17K Views
Back
Top Bottom