Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kudumu katika ndoa

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
1. Wanawake wazuri (warembo)
Hawa ni wale wanatumia uzuri wao kama njia ya kujipatia kipato ukioa hawa, hakikisha unakua na fedha kila wakati

2. Wanawake waliosoma ngazi za juu za elimu mf. Masters, degree, nk.
Hawa watu ndugu yangu sijui utawambia nini au utawashauri nini, sasa Ole ukutane na masters ya sheria haha.

3. Wanawake waliotoka familia zenye kipato cha juu (matajiri)
Hawa ndugu wanataka mazingira yako yawe Kama ulikowatoa.. Kila kitu reference yao ni nyumbani kama huna kipato kaa pembeni.

4. Wanawake walioitwa kumtumikia Mungu.
Hawa hua hawasikilizi wanaume kila wakati wanasikiliza sauti ya Roho mtakatifu tu.
Chonde Chonde usitafute pressure za bure. Otherwise uwe umemshirikisha Mungu kweli kweli.
 
1.wanawake wazuri (warembo)
Hawa ni wale wanatumia uzuri wao kama njia ya kujipatia kipato ukioa hawa, hakikisha unakua na fedha kila wakati

2.wanawake waliosoma ngazi za juu za elimu mf. Masters, degree, nk.
Hawa watu ndugu yangu sijui utawambia nini au utawashauri nini, sasa Ole ukutane na masters ya sheria haha.

3.wanawake waliotoka familia zenye kipato cha juu (matajiri)
Hawa ndugu wanataka mazingira yako yawe Kama ulikowatoa.. Kila kitu reference yao ni nyumbani kama huna kipato kaa pembeni.
Kwa hiz 3 za kwanza inabidi INSIDER MAN atuthibitishie kama ni kwel
4.wanawake walioitwa kumtumikia Mungu.
Hawa hua hawasikilizi wanaume kila wakati wanasikiliza sauti ya Roho mtakatifu tu.
Chonde Chonde usitafute pressure za bure. Otherwise uwe umemshirikisha Mungu kweli kweli.
Hawa wengi ni upumbavu tu unawasumbua lakin tatizo hasa linakua kwa mwanaume.Kama unaletewa hizo stori za roho wa bwana kasema halaf na wewe unakaa kijinga jinga unakubali tuu bas utagongewa sana na watumishi.
 
Mwanamke akiwa navyo hivyo plus ni wife material huyo kwangu nampa priority kuwa mke hata sijiulizi mara mbili

Kuliko awe wife material asiye na mvuto, asiye na elimu, asiye na hofu ya Mungu na kutokea familia ya kimasikini

Hakuna mwanamume asiyetaka kuoa mwanamke mzuri na mwenye mvuto tusidanganyane
 
Back
Top Bottom