Huyu mzee vipi?

kadogo2

JF-Expert Member
Feb 16, 2024
404
770
Umri wangu bado nipo 20s nina kijana wangu wa miezi6 nampenda japo sio sana.. sijajua kama atanioa ama la,

Miezi kazaa nikiwa kazini kwangu alikuja mzee wa makamo yaani umri wa baba angu mdogo… kwasababu boss wangu namwita baba hivyo yule na mwitaga baba mdogo…

Basi bamdogo ametokea kunipenda nasikia siku nyingi tu alikuwa anamwambia baba( boss) kuwa amenielewa anataka kunioa… ukweli nimemkataa kutokana na age yake hajafika 50 yupo kwenye 40 na kitu…

Kinachonikera akija mahali tulipo kwenye mitoko analialia ooh ananipenda mimi simtaki mimi naona ananiabisha maana unakuta watu wote wanasema umkubali afate taratibu akuoe

Ameniambia kuwa alikuwa na mwanamke ila hawakufunga ndoa alimzalia watoto mapacha akampa zawadi ya nyumba baadae mwanamke akatoroka na mwanaume Kenya kwaiyo watoto wake huja kumsalimia… amesema yupo serious anataka anioe na ndoa sio kunichezea

Sema tatizo lake ni mfupi kuliko mimi, mweusiii teee, sura yake ya tafadhali nipigie

Ndio weekend yangu inaishia kwa kuwaza ombi la huyu mzee… et nimkubali tu jmn isije nikafika 30s nikakosa mume au nimsikilizie kijana wangu
 
images (1).jpeg


PambanaZaidi/CottonandMore
 
Umri wangu bado nipo 20s nina kijana wangu wa miezi6 nampenda japo sio sana.. sijajua kama atanioa ama la,

Miezi kazaa nikiwa kazini kwangu alikuja mzee wa makamo yaani umri wa baba angu mdogo… kwasababu boss wangu namwita baba hivyo yule na mwitaga baba mdogo..
Subiri baadaye uje kutafuta Wanaume kwa udi na uvumba.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Uzuri wa wazee "kazi ndogo malipo makubwa" sio kama vijana wanasimamia kucha halafu hawana kitu....usiogope mpe tu! Japo uwe makini tu na "jicho" lako..maana ndio sehemu pendwa...usiseme hukuonywa!
 
Uzuri wa wazee "kazi ndogo malipo makubwa" sio kama vijana wanasimamia kucha halafu hawana kitu....usiogope mpe tu! Japo uwe makini tu na "jicho" lako..maana ndio sehemu pendwa...usiseme hukuonywa!

Sio nimpe… kasema anataka ndoa kwaivyo niseme aje lini alete mahari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom