Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jana nilipata flashback ya enzi zangu wakati nilipokuwa single nikagundua kuwa nilikuwa nahangaika tu, najitesa. Kila demu nilikua namuona mzuri na nataka kumvua nguo tu, naweza piga tungi afu...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Sister wangu aliambia, BF wake alimwekea pete ndani ya glass iliyokuwa na Cocacola bila yeye kujua. Ilipokaribia kwisha, Shem alikwenda kwa Magoti huku akilalama "Will you Marry Me?" Mimi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Jamani nina tatizo ambalo linanyima raha kila nionapo picha ya mpenzi wangu, na mambo yanayotokea hivi sasa. Huyu mpenzi wangu zamani alikuwaga mlokole pindi hicho hata hatujafahamiana, bt baadae...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
hivi niulize wanandoa,je? ni poa kutumia mpira kama njia ya kupanga uzazi? kwani siku hizi si ya kiume tu hata ya kike ipo.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Tupo kwenye safari ya mapenzi, na kila mmoja anapopata mwenzi anakuwa na matarajio yake. Inawezekana yakawa ya dhahiri au siri ya moyo wako lakini yote kwa yote ni kwamba wote maisha yetu ya...
0 Reactions
7 Replies
15K Views
kwa kweli masistaduu siwaelewi.Jana kaniambia ana hamu sana ya kuku,nami kwa heshima,japo nabana matumizi nilimpeka kwa hoteli.Sijui ni uoga,ama kushiba ama ugeti kali??,sistaduu alionja paja tu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Alikuwa akimchukia sana mamake, kisa alikuwa ana chongo… Mama yake alikuwa anafanya kazi ya uwalimu na kufanya biashara ya kupika kwenye maharusi, ili kuweza kumtunza mtoto wake pekee. Mtoto...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
That the first two years of marriage are the toughest? This question comes to me in light of the report that Usher Raymond filed for petition to dissolve his marriage to his wife of nearly two...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Nimeona ndugu zangu muipate hii, ni stori ya kweli kabisa iliyo wahi kunitokea, japo kuna jina hapa nimelitumia kama langu lakini siyo. Endeleaaah! Katikati ya miaka ya tisini baada yakumaliza...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
KANO, Nigeria (AFP) – Men trying to keep several wives happy and women competing with co-wives for their husbands' attentions has led to a boom in the sale of herbal aphrodisiacs in predominantly...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baadhi yetu tumelelewa na kukutana na mazingira yaliyotufundisha hivyo kwa hiyo ndivyo tunavyoamini. Tunaamini kwamba tunapooa au kuolewa tunafanya hivyo ili kushiriki tendo la ndoa kama dhana ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siku ya akina Mama imepita na sasa siku ya akina Baba inakuja. Tukumbushane mambo mazuri uliyotendewa na mzee that made you such a lady/gentleman that you are today. Tukumbushane pia nicknames na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Women do not communicate, they dictate wanaume mnasemaje kwenye hili? Ni kweli au sio kweli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
What you think of yourself is reflected in the way you treat others. A very effective way to raise your own level of confidence is by acting positively toward the people around you. Rudeness...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Walevi wa kazi! Retirement HomeKama mwanamke una mume ambaye ni mlevi wa kazi jambo la msingi ni kukumbuka kwamba haina haja kuanza kuzozana au kukefyakefya kila usiku akichelewa kirudi, au...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Andrew Bagala Kampala Police have arrested a student of Kyambogo University in connection with the murder of his girlfriend. Mr Sam Buyinza, a third year Social Works and Social Administration...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Madonna's adopted son David was simply being polite to a stranger - with no idea he was talking to his father. At their meeting in Malawi on Monday, the three-year-old went on to sit in Yohane...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Kuna tangazo ambalo linalenga kuwaepusha akina dada (hasa wale wenye umri mdogo) na uchu wa akina baba wapenda ngono. Binafsi sina tatizo sana na ujumbe uliomo kwenye matangazo haya, tatizo langu...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Jamaa yangu aliniuliza swali nami sikupata jawabu, alisema yafuatayo 1. je utajuaje kuwa leo mkeo au mpenzi wko amemegwa na jamaa ni dalili zipi za wazi kabisa? a)....... b)....... c)...
0 Reactions
27 Replies
23K Views
Nimesoma katika blog ya The Hill of Wealth eti..... Mwanamke amaye ni mwepesi kutoa machozi mara nyingi anakuwaga ni mzuri sana lipokuja suala la hisia katika maeneo yote ya maisha hii ina maana...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom