Sinkala Ulishaoa?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Vp Jamani, huyu mwaJF anayetembea kwa jina la Sinkala alishajipatia jiko?
Maana tulitangaziwa humu jamvini juu ya harusi yake kwamba ingekuwa August hii... au alikatishwa tamaa na vitisho vya akina Fidel180!
Na je kama ilifanyika, wanaJF mnaoishi huko Darisalama mlihudhuria?
 
Tayari nilishaoa Mkuu, nashukuru Mungu mambo yalienda vizuri, na pia nachukua nafasi hii kuwashukuru members waliojumuika nami kwa namna moja au nyingine.
 
hONGERA Comrade Sinkala
MUNGU mwenye rehema na neema akujalie ndoa yenye amani

By the way nakuona hapo kwenye avatar yako umemchukua mbuzi unampeleka ukweni kusema asante!
 
Haa haa haaa!!! Naona yeye ametangulia mbele yangu, sasa sijui tuseme mimi nampeleka au yeye ndo ananipeleka !!! All in all, nashukuru kwa baraka zako!
 
Vp uliweza kumtambua mwanajf yeyote hapo ukumbini?
 
Yeah, wakuu Fidel180, Geoff na Maxence Melo walikuwa pamoja nami. Yupo pia member ninayemfahamu kwa jina lake halisi ila ID yake humu siijui, yeye pia alikuwepo ila sitamtaja hapa.
 
Du...hii kali.
Na Fidel180 alikuwepo! huoni kuwa ni tishio kwa usalama wa ndoa yako! Ni mchafuzi sana huyu jamaa, usicheke nae bana! Chunga sana simu ya mkeo mzee, usikute keshaanza kumdipudipu!
 
Ha ha haaa!! Nadhani unamtilia shaka kutokana na zile thread zake za wiki iliyopita zenye title ya "Ananing'ata" na "Naambiwa ana mimba yangu". Mimi naona ni muungwana tu, ila kwa kuwa sasa yupo offline, tusubiri atakapokuja kulogin humu, nadhani atajibu tuhuma hizo !!
 
Mazee usipime yule dogo hupenda kuonja onja hasa vya watu! huyo mbwa ama mbuzi? sijavaa miwani yangu!
 
Du...hii kali.
Na Fidel180 alikuwepo! huoni kuwa ni tishio kwa usalama wa ndoa yako! Ni mchafuzi sana huyu jamaa, usicheke nae bana! Chunga sana simu ya mkeo mzee, usikute keshaanza kumdipudipu!
Naomba nianze kumtetea mshikaji wangu Fidel80 kuwa hana hizo tabia kabisa na Mhe. Jimmy please husimchafue mshikaji kiasi cha watu kumuogopa kama ukoma. Mimi kwanzan naona alistahili pongezi kwa kwenda kumpa kampani mdau mwenzetu na hii kimsingi ni kutuwakilisha sisi ambao tulikuwa na nia ya kwenda lakini hatukuweza kufanya hivyo.
 
Mzee Sipo unataka kunambia humjui Fidel180 wa humu ndani alivyo na anavyo`behave?...! Mi nimem`generalise kutokana na mitundiko yake tuyasomayo humu.
But i dont know the real Fidel in the real world!
 
Yeah, wakuu Fidel180, Geoff na Maxence Melo walikuwa pamoja nami. Yupo pia member ninayemfahamu kwa jina lake halisi ila ID yake humu siijui, yeye pia alikuwepo ila sitamtaja hapa.
Waambie tuu kama ni mimi!
 
Mzee Sipo unataka kunambia humjui Fidel180 wa humu ndani alivyo na anavyo`behave?...! !
Comrade Jimmy
huyu fidel80 humu ndani ana mbwembwe tu wala hayuko kihivyo
Pouwa lakini ndio JF inapendeza hivi kwa kubadilishana ideas
 
By the way nakuona hapo kwenye avatar yako umemchukua mbuzi unampeleka ukweni kusema asante!
....huyo mbwa ama mbuzi? sijavaa miwani yangu!
Unajua tena, huyo mnyama kwa makabila mengine ni kitoweo kwa hiyo kupunguza ukali wa lugha simply tunamuita 'mbuzi' Inawezekana mkuu Sipo ni mnyalu ndo maana akamuita mbuzi !! :D
 
Aaah! Aaah! Aaah! Aaah! Aaah!
 
Unajua tena, huyo mnyama kwa makabila mengine ni kitoweo kwa hiyo kupunguza ukali wa lugha simply tunamuita 'mbuzi' Inawezekana mkuu Sipo ni mnyalu ndo maana akamuita mbuzi !! :D

Mkuu tutake radhi mm na wanaJF wote tunaotoka pande za pale kwa mzee Mkwawa! Otherwise nakutakia maisha mema na yenye baraka ndani ya ndoa yako.Mtangulize sana Mungu maana kwake yeye kila jambo linawezekana.
 
... au alikatishwa tamaa na vitisho vya akina Fidel180!
Na je kama ilifanyika, wanaJF mnaoishi huko Darisalama mlihudhuria?

Mkuu mm nilimpa hongera kwa maamuzi mazito aliyoyachukua kwa niaba ya members mm nilihudhuria sherehe hiyo nilikuwepo kwenye eneo la tukio kwakweli tulienjoy tulikula na kunywa na kusaza kwakweli harusi ilifana sana. Jamani atakae taka kufunga harusi hivi karibuni njooni hapa JF tangazeni watu tutawapa support.
Shukrani mkuu Sinkala sasa najua shem anapika na kupakua swaaafi kabisa.
 
Lakini mkuu watu wanakuogopa huku jamvini. Punguza makali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom