Domo Zege

Mtu B

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
919
51
Hali hii ndiyo inayosababisha wanaume wajikute katika madhila yafuatayo:
1. Kuchelewa kuoa au kuoa wasiyempenda, wanasubiri tu mwanamke yeyote atakayejipeleka ndiyo huyohuyo. Manung'ayembe yanawapenda sana hawa domo zege.
2. Kumnaniliu mwanamke yayote atakayejitolea kumpa hiyo naniliu
3. Kununua dada poa a.k.a CD
4. Kumnaniliu hata hausigeli
5. Kupiga ngunga
6. Kubaka
7. Kubakwa na minung'ayembe
8. Kuhonga ghali (na bado ananyimwa vilevile)
9. Kupigana na wanaume wenzie akigombea demu
10. na mengine mengi.

Orodhesha madhara mengine ya domo zege na namna ya kukabiliana nayo, nina uhakika kuna wadau wengi hapa watafaidika na darsa hii.
 
1. kutokujiamini amuonapo demu.
2. maeneo ya ikulu kumsumbua ashikwapo mkono na demu au akicheza muziki haswa blues!! (hii nakumbuka niko boarding school kuna mshikaji alikua domo zege balaa!, akiongea na mwanamke tu ikulu kunabipu kinoma.)
 
We kama sio domo zege,shukuru sana,kuna sababu nyingi sana zinazowafanya watu wawe domo zege,dini,malezi,kuishi vijijini n.k.
Hilo ni tatizo kubwa kwa watu wengi
sio vizuri kuwacheka na kuwalaumu,wanapaswa kupewa therapy
ya namna fulani,
wengine ni wazee wenye pesa lakini kutongoza hawawezi wanaishia kuchunwa na mishangingi ya mjini...
Huku wanahangaika.
 
Hali hii ndiyo inayosababisha wanaume wajikute katika madhila yafuatayo:
1. Kuchelewa kuoa au kuoa wasiyempenda, wanasubiri tu mwanamke yeyote atakayejipeleka ndiyo huyohuyo. Manung'ayembe yanawapenda sana hawa domo zege.
2. Kumnaniliu mwanamke yayote atakayejitolea kumpa hiyo naniliu
3. Kununua dada poa a.k.a CD
4. Kumnaniliu hata hausigeli
5. Kupiga ngunga
6. Kubaka
7. Kubakwa na minung'ayembe
8. Kuhonga ghali (na bado ananyimwa vilevile)
9. Kupigana na wanaume wenzie akigombea demu
10. na mengine mengi.

Orodhesha madhara mengine ya domo zege na namna ya kukabiliana nayo, nina uhakika kuna wadau wengi hapa watafaidika na darsa hii.

sasa kama ni domo zenge huyo housegirl anamsomeshaje au anambaka?
Hata hao madada poa unaongea nao ili kubagain bei...................au domo zege hiyo ni ipi?
 
sasa kama ni domo zenge huyo housegirl anamsomeshaje au anambaka?
Hata hao madada poa unaongea nao ili kubagain bei...................au domo zege hiyo ni ipi?

Kwa kawaida mahausigeli nao huwa ni domo zege mbele ya baba mwenye nyumba, hawkataagi kitu! Na akitokea kuonesha resistance kidogo tu anahongwa hela sawa na mshahara wake wa mwaka mzima! Kwishne!

Kwa madada poa ni pochi ndiyo inayoongea, si domo! Na bei anapanga huyohuyo CD. Kwa domo zege, hela anayoambiwa ndiyo anayotoa, hakuna cha bargaining wala nini!
 
halafu ukiwa domo zege hata demu akiwa mbaya wewe utamuona mzuri tuu!.
 
Back
Top Bottom