Matiti...

Mbonea

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
640
20
Wadau, ni kweli matiti mengi ya kina dada zetu huanguka au kuwa makubwa kwa sababu ya kushikwa shikwa na kuchezewa au kuna sababu tofauti?

Naombeni ufafanuzi.
 
Wadau, ni kweli matiti mengi ya kina dada zetu huanguka au kuwa makubwa kwa sababu ya kushikwa shikwa na kuchezewa au kuna sababu tofauti?

Naombeni ufafanuzi.

hakuna ukweli, wengine tumenyonyesha/kuchezewa na baba na watoto wao lakini nao yamo tu....nadhani maumbile ya mtu tu.
 
Aisee! kwa hiyo its just a myth... As long U know to tek care of them mambo yote shwr...
 
Inawezekana kunyonyesha kunasababisha matiti kulala.

Pia familia inachangia..kama bibi alikuwa hivyo basi kuna uwezekano mjukuu akawa hivyo hivyo (gene thing)
 
Aisee! kwa hiyo its just a myth... As long U know to tek care of them mambo yote shwr...

Labda u-take care kwa Plastic surgery au hizo sabuni/madawa ya kukuza japo ya kupunguza sijasikia bado.Kwa asilimia kubwa ni kila mtu jinsi alivyoumbwa.
 
vp kwa vibinti vidogo tu vya shule za sekondari au vyuoni au wale wasioolewa bado lakini wanaonekana vicheche, je matiti yao ambayo wengi wao yanaonekana kama 'kandambili' hao nao inakuaje?, sababu ni kutomaswatomaswa na kunyonywanyonywa ovyo-ovyo au?
 
hakuna ukweli, wengine tumenyonyesha/kuchezewa na baba na watoto wao lakini nao yamo tu....nadhani maumbile ya mtu tu.
wengi wa hao ambao bado yako stable hwanyonyeshi fresh watoto wao au wanawabania wapenzi wao kujinafasi wakati wa majambiozi
 
Aisee! hiyo nayo muhimu... Maana watoto wadogo lakini unakuta tayari ziwa kuuuubwa.
 
Aisee! hiyo nayo muhimu... Maana watoto wadogo lakini unakuta tayari ziwa kuuuubwa.
Acha udhalilishaji wewe
Kwani kuna mtu aliandika application ya kuomba matiti makubwa au madogo
Kumbuka neno lolote unaloandika hapa bila kufikiria unamdhalilisha aidha mama yako au dada yako au mkeo
Kama alivyosema Nyamayao ni maumbile ya mtu hadi mtu ingekuwa kabala ya kuzalia kila mtu anapewa fomu za kujaza azaliwe katika sura au umbo gani hapa duniani pasingetosha mjomba
 
vp kwa vibinti vidogo tu vya shule za sekondari au vyuoni au wale wasioolewa bado lakini wanaonekana vicheche, je matiti yao ambayo wengi wao yanaonekana kama 'kandambili' hao nao inakuaje?, sababu ni kutomaswatomaswa na kunyonywanyonywa ovyo-ovyo au?
ili la kandambili linaweza kuwa swali muhimu kwa mada hii kuliko swali la matiti kuwa makubwa
 
ila all in all kunyonya matiti wakati wa majambozi nzuri sana na wanawake wengi wanapenda kufanyiwa hivyo, huwa najiuliza kuna stimu gani kwenye zile ndude, ingawa wengine hawana zile ndude za kukuwezesha kuyashughulikia vizuri
 
Mode tafadhali ipeleke hii threads kwenye sehemu yake naona tunaanza kujiachia na kusahau kuwa kuna wadogo zetu hapa under 18 mfano namuona Safina hapa anasoma bado hakustahili kuyajua haya mapema hivi. please ipeleke tafadhali wataifuata wenyewe wanaopenda ishu hizi
 
wengi wa hao ambao bado yako stable hwanyonyeshi fresh watoto wao au wanawabania wapenzi wao kujinafasi wakati wa majambiozi

yaani nimbanie mwanangu kunyonya kisa nyonyo litadondoka? khaa....mmoja kanyonya 2 yrs mwingine alikataa nyonyo mwaka na miezi miwili...huyo mwingine alishajinafac kabla hata cjanyonyesha wanae, na anaendelea kujinafac.
 
hapa mtoa mada anaongelea wale ambao hawana watoto na wala hawajazaa na wala hawanyonyeshi.
yani wale mashosti, madenti, vicheche, wavyuoni, mabeki 3 etc.
KWANINI????.
 
hapa mtoa mada anaongelea wale ambao hawana watoto na wala hawajazaa na wala hawanyonyeshi.
yani wale mashosti, madenti, vicheche, wavyuoni, mabeki 3 etc.
KWANINI????.

cjaona mahali mtoa mada akitenganisha waliozaa na wasiozaa...yeye kasema wadada....
 
Ila jamani mwanamke awe amezaa/hajazaa, matiti makubwa ni mazuri jamani! Yaani mie nikiona yale makubwa halafu ya mviringo kama water melon, yaani mtu hata ajifunike vipi na vitenge au hata koti, lazima nitamzimia tu kwa kumtazama kifuani. Uzuri wa matiti yawe makubwa.
 
cjaona mahali mtoa mada akitenganisha waliozaa na wasiozaa...yeye kasema wadada....
sawa, kwani nimebishaaaaaa???
ila cha msingi kwa nini mademu na mabinti wadogo wadogo lakini matiti kama KANDAMBILI?
 
sawa, kwani nimebishaaaaaa???
ila cha msingi kwa nini mademu na mabinti wadogo wadogo lakini matiti kama KANDAMBILI?

Punguza kufuru! Ukubwa au udogo wa matiti unatokana na maumbile. Fikiria kama ungekuwa ni wewe umejaliwa hayo matiti kama kandambili then mtu akuulize ni kwanini yako hivyo sijui ungemjibu nini!

Hii habari ya kunyonyesha au kutomaswa ndio inasababisha matiti kuanguka ni imani potofu iliyojengeka sana ndani ya jamii!
 
Back
Top Bottom