Jamani nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nisaidieni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by najma, Sep 14, 2009.

 1. n

  najma Member

  #1
  Sep 14, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nisaidieni, mimi ni mdada mwenye miaka ishirini na nne ambaye nina mahusiano na mkaka mmoja kwa miaka sasa ni miwili hivi. tatizo langu ni kwamba huyo kaka alikuwa na mke na akanambia ana watoto wawili ila aliwazaa nje ya ndowa kwani mkewe alikuwa na matatizo ya kizazi hawezi kupevua yayi mpaka likafika mtoto. nikamuuliza hao watoto umezaa wapi akanambia na msichana mmoja hivi ila ilikuwa bahati mbaya, nikamuuliza tena kwa nini uyo msichana ujamuowa kama aliweza kukupatia mtoto akajibu ilikuwa mapenzi ya utoto sana.

  kwa kweli nilikuwa nimempenda uyo kaka ila kwa sababu alikuwa na mke nikaona si vema kuendelea nae , tatizo lingine ni kwamba ananambia anataka kuniowa kwa sababu kuwa anaitaji mtoto ndani ya ndowa, nikamuuliza tena mkeo je? akajibu mke wangu naitaji kumwacha, kama mwanamke wa kawaida nikapata na uruma iwaje amwache kwa ajili yangu au kwa ajili hana mtoto? je na mimi nikienda nisipo zaa nami ataniacha? ila jibu linanipa nampenda.

  nikaona uyu mwanaume itakuwa ana mapungufu yake ndipo nilipoanza kumchunguza, nikabaatika kukutana na dada yake ambaye alinambia ukweli kuwa kaka yake ana mtot mmoja na amezaaa na housegirl wake hata hivyo mke wake hajui kitu iko na akanisibitishia kweli mke wake ana matatizo ila pia sio mke mwema kwake kwavile anavijiroho mbaya hata ndugu wake hawampendi.

  ila akanambia jambo moja kuwa kama anataka mtoto kwako wewe kwanini asimuowe yule aliemzalia vile vile sikuwa napata jibu,

  kutokana na habari yote hiyo nikagunduwa kuwa uyu mwanaume ni muongo kwanza kaniongopea kuusu mtoto, pili ni mfisai wa mapenzi awezi kuzaa na house girl wake, sasa najiuliza swali mmoja je? alikuwa ananichezea au? na nifanyeje kuusu ili? ila bado moyoni yupo najitaidi msahahu ila kuna mda napata tabu sana. jamani nisaidieni
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,030
  Likes Received: 23,958
  Trophy Points: 280
  Endelea kumpa uroda ukidhi mahitaji yako ya kimwili, ofcourse kwa kutumia kondom. Swala la kuzaa au kuolewa naye USITHUBUTU KUKUTWA!
   
Loading...