Trying to help Lucy on this,...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Trying to help Lucy on this,...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kisoda2, Sep 15, 2009.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Lucy's brother had got engaged with his fiancée for 3yrs now and they are going to get married on December this year. These two couples love each other very much. Lucy’s brother lives in DAR and his wife to be lives in Dodoma.
  Due to this distance, one of them has to travel either to Dodoma or DAR over the weekend.
  Two weeks ago, Lucy met a dramatic thing pondering her mind when she was in Dodoma. Lucy went to Dom on her job business, but after working hours she decided to go out for reluxation.She just visited one of the night club in Dom. While she was there, she saw her brother's fiancée in arms of another man, and the worse thing they were kissing in a romantic way to prove they were lovers.
  She decided to walkout before they saw her.

  Now she in a big dilemma whether to tell her brother what she saw in Dom or keep quite and let the life goes on?

  What do you guys think?
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Sep 15, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  She has to tell the truth, before waiting for her brother to face problems after marriage.
   
 3. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Lucy,look here,you are the last sweeper of your brother.
  Go ahead and tell your brother about it.
  Remember 'BLOOD IS THIKER THAN WATER' eee wee ngoja utakuja mkosa brother wako.
   
 4. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lucy should tell her brother what she saw,and leave the brother to decide.She should not try to influence on how the decision should be made or tell her brother what to do.
   
 5. A

  August_Shao Senior Member

  #5
  Sep 15, 2009
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Let the process recover by it self
   
 6. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Kinachotakiwa Lucy angalie life la Brother wake kwanza. Kama na yeye akiwa Dar anafanya mambo yanayofanana au hata zaidi ya huyo mpenzi wake inabidi apige kimya. lakini kama Bro wake yuko fresh inabidi amwambie alichokiona haraka sana.
   
 7. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2009
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Maadam huyo Lucy alipomuona alikaa kimya na kutoka ukumbini, hana sababu ya kumwambia kaka yake. Akimwambia utakuwa umbea kwa kuwa hatakuwa na ashahidi.
  Akimwabia kaka, kaka atamuuliza mchumba wake ambaye ataruka kimanga na kutaka aambiwe nani kasema. Kaka anaweza kukosea akamtaja dada yake. Kumbuka hao ni wapenzi. Soo itakuwa kati ya dada na wifie.
  Alichotakiwa kufanya Lucy ni kwenda kumsalimia wifie palepale walipo na kuondoka. Na bila ajizi wakikutana wote watatu Lucy aliseme waziwazi. Hii intondoa fitina zote.
   
 8. m

  mdau2009 Member

  #8
  Sep 15, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lucy, tell your brother the truth.
   
 9. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Lucy alifanya kosa kuondoka kwenye hicho kiwanja. Angetakiwa amfuate huyu wifi wake to b na kumpata salama zake. Pili ni lazima amwambia bro wake. "once a cheat always a cheat"
   
 10. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lucy anamtiahani mkubwa sana.
  1. Ukimwambia kaka yako, huna ushahidi wa kutosha endapo wifiyo atakana kutenda vitendo hivyo. Na endapo kaka yako kafa na akaamua kuoa, basi wewe umekwisha, kwa kaka yako kutakuwa kituo cha polisi/alkaida.
  2. Usiposema, kesho kaka akiugua ukimwi, wewe utajisikia vibaya kwa kuwa unajua wifi yako si mwaminifu.
  3. Naungana na Congo kwamba ulitakiwa uende umsalime wifi pale alipokuwa anastarehe na huyo jamaa, au ungewapiga picha kwa ushahidi zaidi.

  Sasa Lucy achambue mwenyewe lipi la kumsaidia kaka yake.

  Pole.
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  1: alimfanisha
  2:dada ni mjinga sana kwa nini alitoka nje bila kwenda kumuuliza kulikon
  3:haya ndo matatizo ya cyber marriage.
  4:kwa miaka mitatu kaka mtu anamfaham vyema mchumba wake,
  5:kama vip kaka mtu afanye ziara ya kusitukiza dom na aulize rafiki wa dada huyu kwa usiri mkubwa
  6: halua haina kipolo; kaka mtu akiona ni kweli apige chini, kwa nini apashe kipolo wakati vya kupikwa vipo!!
   
 12. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  very fantastic.............
   
 13. P

  PUNJE JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 334
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  ................namshauri Lucy amwambie kakae aliyoyaona na pia kuwa yeye Lucy hakuona na wifi yake mtarajiwa, ili kaka ndiye awe na uamuzi nini la kufanya kama atataka kufuatilia kupata ushahidi zaidi au vinginevyo. ni bora kuanza kuziba ufa ati...
   
Loading...