Evolution: Kunuka Kwapa ufuto wa mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Evolution: Kunuka Kwapa ufuto wa mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Zakumi, Aug 20, 2009.

 1. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Katika utafiti wangu inaonyesha wanyama wengi wanatoa harufu fulani kuvutia wapenzi.

  Nilikuwa najiuliza ni kitu gani binadamu wa mwanzo walikuwa wanatumia katika kuvutia mapenzi. Baada ya kuwachunguza sana dolphins nimegundua kuwa harufu ya kwapa.

  Stay tuned uchunguzi unaendelea.
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Weekend imeanza, this time imeanzishwa na Zakumi. Ngoja NN aje... lol
   
 3. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha haa...
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Arrrrgggghhhhh....hakuna kitu kinachoni turn off kama harufu mbaya ya kwapa. Kwapa linatakiwa liwe swafi bana. Mimi ni kwapa specialist hapa. Kwapa la mwanamke linatakiwa liwe nyororo kama kwapa la mtoto. Yaani hakuna mi razor bumps wala nini. Halafu halitakiwi liwe na rangi tofauti..hapa nikimaanisha two-tone. Kwapa linahitaji special care bana. Mimi kwapa la mwanamke hunitia hamu kwa sana tu. Sijui nina kwapa fetish...
   
 5. Companero

  Companero Platinum Member

  #5
  Aug 20, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Zakumi naona siasa zimekushinda sasa unataka kuingilia fani za watu. Watalaamu wanasema hilo jasho linatakiwa liwe na uwiano mzuri ili kuleta mvuto unaouongelea. Katazame sinema ya 'The scent of a Woman' uone 'balance'.
   
 6. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  SteveD:

  Kwapa lina mambo yake bwana. Nasikia Japan wanaume uwa wanachomekeza kwenye kwapa hili mama asipe mimba.
   
 7. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Lol tunakusikia mkuu. lol
   
 8. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Siasa zenyewe kama ni hizo za kibongo, yaani nimewaachia ukumbi wenu. Yaani wakati wa mjadala wa Richmond Sita alitaka kikao cha bunge kisifanyika mpaka arudi Marekani, leo hii ni shujaa dhidi ya mafisadi.
   
 9. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Harufu ya kwapa ni ya maana sana kwa mvuto wa mapenzi. Ila isiwe kali sana. Lakini ile natural odour ya kwapa huleta mvuto fulani wa mapenzi. Ujue harufu ya kwapa la mwanaume na la mwanamke inatoafutiana. La mwanamke lina harufu fulani ambayo kama si kali sana inavutia na kuamusha bashasha za mapenzi. Vivo hivo kwapa la mwanaume lina harufu yake ambayo humvutia mwanamke na kuamusha hamu fulani.

  Kumbe harufu ambayo ni natural ya mwili na hasa ya kwapa ina maaana sana kwa mapenzi. Ina mvuto. Ila isiwe kali mno. Nakumbuka jamaa yangu mmoja mpenziwe wa kike alikuwa hapendi rafki yangu ajipulize manukato yoyte akidai kwamba anataka aipate harufu natural ya mwili wake, ya kibeberu kwani ilikuwa inamsisimua sana kimapenzi. Kwapa hilo!!
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wadau harufu ya kwapa inayozungumziwa hapa si ile uwapo kwenye dala dala au kwenye kazi nzito au umekurupushwa huko kwa hiyo una sweat kwa uoga au vipi, hii harufu huwa inatoka pale ambapo kuna uelekeo wa mapenzi, mathalani mpo wawili wewe na mpenzi wako, mnazungumza mambo ya mapenzi kuna harufu flani ya kwapa huwa inatoka, ile huwa special, au enzi zile za kusotea mademu miaka ya themanini na kurudi nyuma na miaka ya mwanzo ya tisini kabla TV na Simu hazijaingia sisi wataaluma wa kutongoza enzii hizo simu hakuna demu lazima umfuate live na hawakuwa rahisi km siku hizi unaweza sotea demu mienzi hata minne, hakuna gesti km these days so mnapokuwa wawili unamuimbisha demu km she is interested in you hakika utakisikia ki harufu flani cha kikwapa kwamba demu ana hisia flani na wewe but hawezi kukuambia fanya hivi au vile wewe mwenyewe utajua tuuu, kwamba hapa demu ana mzuka, Point yangu ni kwamba jasho lile linapatikana kt wakati maalum na mtu maalum na sio la uchafu hata ukasugua kwapa kwa mashine na kumwagia pipa la deodorant still ile scent itakuja tuuu
   
 11. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  duuh, sijui kama wajep tunawaweza siye kwa kweli... binadamu wale nuksi mkulu wangu, kila kitu kwao ni legal na edible.... jamaa wanatengeneza hata supu ya minyoo wale. viumbe wa ajabu sana wale ndugu yangu!!! :)
   
 12. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Companero kaingia ndani ya nyumba inayoongelea kwapa, sasa wamebakia Reverend K., Mkandara, Omarilyas na Suki tu! lol
   
 13. Companero

  Companero Platinum Member

  #13
  Aug 20, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Zakumi, nilipokuwa mdogo nilikuwa nachunga mbuzi wa Babu na Bibi. Sasa wale mabeberu walikuwa na tabia fulani ya kuwanusa mbuzi jike na mkojo wao kisha wanausikilizia utamu wa huo mnuso kwa kubetua mdomo na kutoa meno yao nje kama wako kileleni. Hii ina uhusiano wowote na hii Nadharia Ya Kikwapa (Armpit Theory)?
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Aug 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Companero umedata si kidogo....Lol....eti Nadharia ya kikwapa...ahahahahaha
   
 15. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2009
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  oooo.... ndiyo maana yule mama anampenda kijana msukuma mkokoteni
   
 16. Companero

  Companero Platinum Member

  #16
  Aug 21, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu, tehe tehe, hii sio laughing matter. Theory hii ina serious implication kwenye mabizinesi na mabiashara. Ikithibitishwa beyond doubt hapa Tanzania basi ita-inflate biashara ya manukato/uturi/pafyumu. Mpe 5 Za10!
   
 17. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Kuna siku nilikuwa naangalia comedy ya Jimmy Foxx. Anasema alipokwenda South Africa, alipata bahati ya kuudhuria disco. Wakati nyimbo za kimarekani zinapigwa watu walikuwa wanacheza taratibu.

  Lakini ilipofika saa sita usiku hivi, ikaanza african nite. Hapo nyimbo za Africa tu. Na akaona walivyopagawa kwa kucheza na majasho yakiwatoka.

  Lakini yeye kila akiwakaribia alihisi harufu ya kikwapa. Lakini waafrika wenyewe kwa sababu wamezoeana hawaoni tatizo lolote lile.

  Kuna rafiki yangu anapenda perfume. Kuna siku akawa anasafiri kwenye basi lilojaa waMasaai huko Kenya. Wamasaai wakawa hawataki kukaa na yeye kwa sababu waliona jamaa ana-stink.

  Hivyo inawekana matumizi ya deodrants yanaua natural instincts.
   
 18. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  From evolution point of view yes. Kumbuka binadamu wa mwanzo hawakuwa uvutiaji wa kisasa. Ku-prove my point waafrika bado tunahusudu big chubby women au big chubby men. Hii yote inatokana na kuwa miaka ya zamani mtu mnene alikuwa anafakiriwa kuwa ana extra something to eat. Lakini katika sehemu zenye chakula cha kutosha unene sio issue ni dalili za gready na uvivu.
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
 20. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180

  Kama theory hii ikithibitika maana yake umasikini ndio bye-bye huko kwenye visiwa vya marashi si ndio?? Kwahiyo CUF inaweza kuja juu juu zaidi!!
   
Loading...