Hivi mapenzi yakoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mapenzi yakoje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kasyabone tall, Sep 17, 2009.

 1. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  NIMEKUTA KIJANA MMOJA AKANIAMBIA HIVI
  Hivi mapenzi yakoje?
  unajua huwezi kujiuliza kama hujawahi kutokewa na kitu kama hichi.
  anayekungangania humpendi kumwambia unaogopa kwani hata ukionyesha dalili za kumfukuza hatoki. utakata simu zake hata mwezi anakusumbua mpaka unapokea. utamkatalia kuja kwako mpaka unamficha kwako hamuonani mwaka bado hakuachi ngo.
  Unayempenda anakuzingua kwa kuwa anajua unampenda kumwaacha huwezi.
  under review will be posted in a straight way soon

   
  Last edited: Sep 17, 2009
Loading...