Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Checkup ya Ndoa 2009 Kama mahusiano yangekuwa yanaenda kwa daktari kupata vipimo je, ungepata Tick? Huu ni mwaka 2009 naamini ni vizuri kujiangalia na kupata ukweli wa mahusiano yako...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bazazi ana hoja kidogo. Kwa watu wazima kidogo (si chini 40 yrs), wanadai siku hizi hakuna raha ya kuoa, kwasababu uvaaji wa mabinti wa kileo umepoteza heshima na ladha ya mwanamke. Nyamaume hao...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
nimeikuta www.harusiyangu.com wanandoa wakati unatoka unatakiwa umuage mwenzako au uombe ruhusa?
0 Reactions
103 Replies
14K Views
Wataalamu wa masuala ya mahusiano wanadai kuwa mtu anapotoka nje ya ndoa ni lazima atafumaniwa. Na kama hatafuniwa mwaka wa tatu tangu aanze uhusiano na huyo hawara yake basi kuanza basi lazima...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni kudanganyana Kama ulivyo ni wewe jiamini na waweza kuwa vyovyote unataka na una haki ya kuzaliwa kufurahia tendo la ndoa bila kujali upoje. Jamii imezungukwa na tamaduni zinazofanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je, kwa urembo tu utampata? Kuna usemi kwamba jinsi mwanamke anavyovutia physically kwa mwanaume ndivyo mwanaume humuhitaji zaidi. Ukweli ni kwamba jinsi usivyokuwa concerned sana na physical...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Leo nilipokuja ofisini nimemkuta office mate wangu amevimba jicho la upande wa kushoto, Kuuliza kulikoni shost akanisimulia kuwa amepigwa na mpenziwe. Nikamaka kisha nikamwuliza...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
The way you dress affects how others view you. It's nothing personal, just business. By Laura Sinberg, Forbes.com Getty ImagesMany professional women are guilty of multiple fashion faux pas...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sadru divorced his wife on their wedding night. REASON: He sae a label on her underwear written; "100%" SOFT AND TIGHT tested by Khan and Brothers. Approved by Singh and Sons.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kitu ninakiona na sikielewi kabisa.Mwanaume akifungwa jela, mke anapaswa naye kuwa kifungoni angalau cha nje.Jamii inamtegemea amsubiri mumewe arudi nyumbani hata kama anatumikia kifungo cha...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa akamuuliza mkewe,..."Je,una hakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?...Mke akajibu kwa uhakika kabisa..Ndiyo honey,wengine wote ilikuwa hatulali,ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I was in a rship with this guy for close to 3yrs. we had our share of ups and downs. though i wanted to marry him, i was afraid coz he was not open and we always had problems communicating.our...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Wateja wa chumba hiki cha mahaba napenda kuwauliza ili kujua kama kuna umuhimu wowote ule wa kufanya sherehe za harusi ,au ni kuuoa na kuondoka bila ya sherehe zozote zile ? Na kuna siri yeyote...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Divorce and Viagra blamed for soaring rate of sexually-transmitted diseases in over-45s By Laura Clark Last updated at 5:51 PM on 24th July 2009 Divorce and the impotence drug Viagra are...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hiki kipindi kinachorushwa ITV ni kizuri na kinafundisha ila sijaelewa kama ni maigizo au ni reality show?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanawake kuamini uweupe wa mkorogo ni uzuri,je ni wanaume ndio wanawapenda wanawake weupe au fikra tu za kimagharibi?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu. Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya mahusiano kati ya mke na mume ndani ya ndoa kuna vitu nimeshinmdwa kabisa kuvipatia majibu. Naombeni mnisaidie ndugu zangu. Eti for how long...
0 Reactions
188 Replies
16K Views
Basi baada ya mazishi ya msichana mmoja mrembo sana hapa mtaani,mc alitangaza kuwa bibie kabla aage alitoa bahasha ambayo ingesomwa wakati wa mazishi.basi ilibidi aifungue ile bahasha na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Since mobilephones came to our daily business it help some how,but this is something very interesting. It is the only way we use to keep our relations active and alive when you feel lonely and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za mchana wana JF Tusaidiane wadau katika swala hili,kuna rafiki yangu mmoja alikuja kunieleza jambo nikabaki nastaajabu,yeye na jamaa yake wana uhusiano wa miaka mitatu sasa,na katika...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom