Sodoma Hii Hapa...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sodoma Hii Hapa...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PakaJimmy, Oct 6, 2009.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  WanaJF nambieni,

  Kuna makatazo gani yaliyobaki kwa sasa kwenye suala la tendo la ndoa?

  Mi binafsi naona kama vile taboos zote zimeshakuwa crossed, na watu wanajiendea tu, kama kondoo wasio na mchungaji!

  Yale makatazo(donts) ya zamani yamevunjwa na kutupwa, tendo la ndoa limekuwa ni mchezo wa dimbadimba katika jamii!

  Kwasasa, kama msichana yuko kwenye siku zake anatumika kawaida tu na wanaume, aidha kwa kugeuzwa, au kwa namna zingine!!

  Wanawake wanameza kabisa zile ndudu zinazotolewa na mwanaume kama uji wa soya!, lol!

  Wiki hili nimeshuhudia mtoto wa kiume wa miaka 16 hapa Mount Meru hospital akiwa form two, ambaye alianza kufanyiwa vibaya makalioni miaka miwili iliyopita, na hakusema chochote wala kuripoti kwa mtu kabisa, hadi alipopata matatizo mengine ndipo yalipelekea agunduliwe kuwa ana mchezo huo!

  Hivi ni mimi binafsi ndo nimepitwa na wakati kiasi hicho?

  Ni nani atakayetusaidia kurudisha hadhi ya zamani ya tendo hili, ambapo lilikuwa la uwoga mno, na liliheshimika?

  Au ndo twaingojea Sodoma na Gomora? Michango yenu wakuu!
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Habari za Ar. Ndio dalili haswa. Na Dar ndio usiombe . Ni aibu tupu.
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hivi zile ndude zikimezwa kama uji haziwezi leta madhara ndani kwa ndani?
   
 4. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,800
  Likes Received: 2,480
  Trophy Points: 280
  siyo hayo tu siku hizi mdada kuka na kukuonyesha sehemu zake za ndani siyo aibu tena ni uzungu .hata under skirt hawavai ni aibu bora mimi nijikalie hukuhuku kijijini ambako sijifunzi wayafanyao wenzangu wa mjini,

  hata shanga siku hizi zipo hazarani kana kwamba hakuna wazazi nyumbani.

  kunyonyana ndimi imekuwa kama kunywa maji kwa kweli yesu rudi okoa kizazi hiki kimekwisha
   
 5. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,800
  Likes Received: 2,480
  Trophy Points: 280
  uliza waliomeza je zinaweletea madhara?nasikia zina ladha ya chumvichumvi?ni kweli shemu???????aibuuuuuuuuuuuu
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Yote haya ni matokeo ya kuabudu anasa za dunia. Mtu anavumbua kila njia ya kuweza kujipatia starehe kwa kiwango cha juu kiwezekanacho bila kujali maadili wala nini.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Chaku,
  Kama umeamua kukaa kijijini achana kabisa hata kuulizia ladha yake... !

  Ni michezo mibovu sana ya kuiga kila jambo.

  Mi najiuliza kila siku hivi wanangu niwafungie kwenye geti gani wasione uharamu huu huko mabarabarani!
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwa jinsi watu walivopagawa YESU akirudi anaweza kuzimia kwa mstuko
   
 9. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ndi enzi za utandawazi na MTV, 24/7 generation! Hizi reality TV kama big brother zimeuwa kabisa maadili ya kiafrika na kukaribisha maadili ya nchi za magharibi, vijana wa leo wanaiga kila kitu wanachokiona kwenye TV.
  Cha kutisha zaidi ni kwamba hawa wetu ambao wanaiga wanazidi mpaka. Utakuta Beyonce kaigiza kwenye music video akiwa na kachupi tu, lakini sio kwamba eti anatembea vile ukimkuta mitaani, sasa kasichana cha kibongo kitanunua hako kachupi anatinga nacho mitaani kabisaa, tena mchana? mwenyewe anajiona fashionista!
   
 10. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nashauri binadamu tusivae nguo,itatusumbua mwanzo but tutazoeana hope hata ngoma itatulia,maadili tutayaona, so atokee mwanamapinduzi mmoja ageuze ulimwengu na kuabandon tendo la kuvaa nguo!! pata picha unakatiza kariakoo!! teheee
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  i am sorry
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ar bomba mbaya mt2wangu. Si unajua mahali panaitwa `KwaMrombo, kuna mbuzi wa kuchoma wa hatari!

  Kasoro madude kama hayo nilioyaandika hapo juu ndo yanapagawisha.
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  kwani zikienda sehem hucka zinaleta madhara?.....kama sio bac jibu lipo wazi.
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
   
 15. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,986
  Likes Received: 1,557
  Trophy Points: 280
  SI ANAFUATWA YESU HAYA YAMO MAKANISANI

  [​IMG]

  We are lambs before the Lord, and every Sunday we give thanks to Him with all of our body and soul. And it includes the sacrifice of our garments, for it was when Eve ate from the Tree of Life and gathered fig leaves that mankind fell into sin.

  We are not naturists, for the Lord looks down on hedonistic, recreational lifestyles. But in the House of God, we kneel with the most devoted kind of humility and faith. If you have worshipped elsewhere in Texas, we promise that our congregation will inspire you. Come and worship with us!

  I am excited about our special group of believers. Contact our ministerial staff today to see how we can help you. Blessings!


  - Mark Johnson, Pastor  "Who told thee that thou wast naked? Hast thou eaten of the tree, whereof I commanded thee that thou shouldest not eat?"
  Genesis 3:11​

  "Whoever does not welcome the kingdom of God like a little child will certainly not enter it."
  Mark 10:16​
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Copy and paste at its summit! lol!
   
 17. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,986
  Likes Received: 1,557
  Trophy Points: 280
  hayo ni ya kawaida kwa wanaomfuata yesu ulaya na marekani
  usipate joto kama nimekosea kuonyesha ukweli nisamehe
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Jamaa amechanganyikiwa. Msaidie kwa kumuweka kwenye ignore list.
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Oct 6, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,131
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ndio yanashamiri kwa kasi hivi sasa hasa huko mijini mnakoiga kila kitu
   
 20. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2009
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,986
  Likes Received: 1,557
  Trophy Points: 280

  juisi endelea kunywa siri siri , naona mwaka huu ni juisi tu

  ignore list hahahaaaaaaaaaaa
   
Loading...