thanx

sika

Member
Oct 5, 2009
21
0
jamani wana JF mimi ni newcomer.nawapongeza wana jamii hii kwa kutupa elimu mmbadala katika jamii,dont worry JF i willm air very interesting love tips in this site for today just accept me as a newcomer right.
 
Lol! Mkuu una-atack kama homa ya mafua ya nguruwe inavowa-atack wazungu.

Lazima awe specifiki kama ni kwenye siasa agonge thanks kwa MMKJJ na BB ATAKA KUSEMA na kina MUKANDARA... kwenye jokes na ma lav dav akungongee thanks wewe na 1st lady wako ambaye leo anaweza kukuacha shauri ya huyo bar maid wa kimbulu.
 
Hahahaha! Mkuu sina mbavu, leo naona umesepa kule. Na avatar yako leo ina kimulimuli.
 
jamani wana jf mimi ni newcomer.nawapongeza wana jamii hii kwa kutupa elimu mmbadala katika jamii
tunashukuru sana.
na wewe je uko tayari kufanya hivyo, au ndo umeingia kutupa pongezi na kusepa?
 
Hahahaha! Mkuu sina mbavu, leo naona umesepa kule. Na avatar yako leo ina kimulimuli.

Ile ilisababisha nimkose 1st Lady vile ilikuwa inatisha , hii kwa muda tu, leo mchana na weka ya permanent.
 
Ile ilisababisha nimkose 1st Lady vile ilikuwa inatisha , hii kwa muda tu, leo mchana na weka ya permanent.

kumbuka nilishakwambia kuwa ile Avatar si nzuri ukabisha... haya sasa, 1st Lady sasa anakula na Masanilo Kipunguni!
 
Mwanamke anaushawishi mkubwa unakumbuka samson kwenye bible?
Awali ya yote ni Adam ambaye alipokea tunda toka kwa Eva, bila kuhojihoji, akapokea - akala.
Remmy aliimba, "....neno la mke, chumvi kwa mumewe....."
 
jisikie home hapa umekutana na kina masanilo,chrispine ,nguli ni balaa tupu
 
Back
Top Bottom