Men/Women who chunga their spouse | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Men/Women who chunga their spouse

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PRECIOUSDOE, Oct 8, 2009.

 1. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #1
  Oct 8, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rafiki yangu mama moja ambaye ameenda retire alipatwa na masaibu baada ya kumpigia one of her former male collegue young enough to be her son akitafuta biashara.Alipoenda yule jamaa jioni home bibi akaona kwenye simu ya yule bwana call kutoka jina na mwanamke.Akaanza kumpigia yule mama simu akikata na kuweka mtoto wake aliye kwa simu.After some time yule bwana akampigia huyu mama akamwabia aongee na bibi yake.Bibi akaanza kumu interogate.Ati yeye ni nani na anamjuaje mume wake.After huyu mama kumweleza that alikuwa akitafuta contract ya kufanya kazi fulani kwa yule bwana bibi akakata simu.

  Swali langu ni:kuchunga mume/mke au boyfriend/girlfriend yako by kuangalia sms na calls zake inafanya mtu kuwa faithful kweli? Mimi niliudhika sana especially because huyu mama ni mtu wa rika la mamake yule bwana.Hii ni kumkosea heshima sana.
   
 2. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,842
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni kweli hakutumia busara, especially kwa kufanya conclusion kisa jamaa kampigia simu mwanamke.
  Huyo ana matatizo kama vipi amfungie ndani mumewe asionane na watu. Kuna watu hawajui namna ya kupeana space.
  kuhusu kushika simu, sioni ubaya wake, afterall they are supposed to be mwili mmoja so sitarajii siri kati yao, cha msingi ni kucontrol emotions za ajabu kama hizo, akitaka kujua kila anayewasiliana na mumewe si atakuwa na kazi ya ziada, after all kama jamaa ni player ni player tu.
  Can you imagine type za kina chrispin (literally) akiwa kama huyu si ataruka kichwa na atachukiana na kila mtu. lol
   
 3. M

  Mrs Mtaba Senior Member

  #3
  Oct 8, 2009
  Joined: Jan 21, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hoja nzuri, tuseme umeolewa, na mlikuwa mkiishi na Mr. mbalimbali... yeye alikuaga na ma girlfriend na wewe na ma bf. Ok ukaolewa na huyo bwana, then ukaja gutuka kumbe Mr. anamawasiliano bado na ma gf wake after 1 and half years kwenye ndoa. Na hapo awali tuseme after kuwa Mr. and Mrs, Mrs alishahisigi kuwa mbona mwanamke fulani anamawasialiano sana na Mr. wake, akimuuliza Mr. anakuwa mkali kama mbogo. Mrs akaamua kukaa kimya na kufanya upelelezi na kugundua ni kweli walikuwa wakilana hapo nyuma. Maana kila kukicha Mrs. akiperuz simu anakuta sms na simu zilizopigwa kama hata mara 3 kwa cku. Na huyo mama jambazi halina mme linaishipeke yake na ni mama mtu mzima wa kumzidi Mr. 10 years +++ na Mrs kazidiwa na Mr. 10 years. ( rate kama vile 30 Mrs, 40 Mr, Jambazi 55). Naombeni ushauri maana ni jambo limekosesha raha sana ndoa hii. Na cha ajabu Mr. kakataa katukatu kukubali kama anakimega hicho ki bibi.
   
 4. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mbona imekaa vema hii hapa na we si urejeshe mawasiliano na waenzi hizo bana hasa ambaye alikumega vizuri zaidi ya wote.Kama vp uniPM nikupe zaidi viujuzi.
   
 5. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,842
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hili nalo ni tatizo linalozikumba ndoa nyingi na kweli linahitaji ufumbuzi ili ndoa iwe na amani. na utaambiwa ni marafiki tu hakuna kinachendelea. mmm inahitaji moyoy
   
Loading...