upweke

memories

Member
Sep 30, 2009
6
1
Je mwanamke mwenye umri wa miaka hamsini na tano ambaye ameishi maisha ya utulivu, kalea wanawe wamekuwa, yupo stable economically anaweza kupata mwezi wa kuzeeka naye mwenye mahitaji sawa na mama huyu? Afanye nini ili aweze kutimiza haja ya kuondokana na upweke?
 
Kaishi maisha ya utulivu, je hakuwa na mume? Kama hakuwa na mume watoto aliwapataje? Maelezo yako hajakaa vizuri, ingekuwa bora kama ungesema huyo mama ni mjane au alikuwa single mummy.

Miaka 55 kwa mwanamke tayari anaelekea uzeeni, hivyo anaweza kupata mpenzi ambaye ni mzee mwenzake wa kuleana uzeeni. Kuna wababa ambao ni wazee na wajane watamfaa huyo mama.
 
Je mwanamke mwenye umri wa miaka hamsini na tano ambaye ameishi maisha ya utulivu, kalea wanawe wamekuwa, yupo stable economically anaweza kupata mwezi wa kuzeeka naye mwenye mahitaji sawa na mama huyu? Afanye nini ili aweze kutimiza haja ya kuondokana na upweke?

...bila shaka,

ikisha kuwepo nia na njia itapatikana. Kwanza jiulize unahitaji mtu wa aina gani (eg; mcheshi, mkimya, outgoing/socialite nk)... hiyo ni pamoja wa rika gani nk...

Ni muhimu mwenyewe ujitambue weakness na strength zako. Hobbies zako ni nini, (eg; sinema, safari, kujisomea, nk), hupendi nini (eg; mnywaji, mvuta sigara, nk), na expectations zako ni nini kwa mwenza huyo.

Baada ya hapo, itakuwa rahisi kujichanganya mahala ambapo watu wa aina hiyo wanaweza kupatikana na kuanza kuujenga urafiki, uaminifu na hata maisha ya mapenzi.

Good start though. kutafuta furaha ya maisha yako kwa wakati 'muafaka'.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom