Which is better: Single or Unhappily Married? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Which is better: Single or Unhappily Married?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PRECIOUSDOE, Sep 23, 2009.

 1. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu utotoni nimeambiwa the ultimate goal for a woman ni kuolewa.

  Kusema kweli nilikuwa natamani ku-meet Mr Right and walking down the isle but what I've seen around me has made me wonder if marriage is for me.

  Sitaki kuingia kwa maisha ya majonzi na majuto like most married women I know of.Ofisini kwetu yuko mama mmoja everyday analia kwa sababu ya domestic problems.

  Sasa mimi ninajiuliza, haya ni maisha ya aina gani? Si heri yule mtu single who is living in peace na heshima zake than mwenye ameolewa na hayuko na stress zisizoisha? What is happening to the institution of marriage? Wako watu wanaozifurahia ndoa zao kweli? Ama nikuvumilia tuu nakuvaa smile fake wakilia moyoni?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Dada, asikudanganye mtu. Being single is the best. I'm not saying it is problem or stress free but compared to being married..ooh heck no. I'll take single life anyday.

  So live your life Miss Lady.
   
 3. m

  mperwa Member

  #3
  Sep 23, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dadangu hakuna kitu kizuri kama maisha ya ndoa(kama ukipata ubavu wako), ila ukikosea au ukaolewa kama fasheni tu, maana siku hizi mtu anaolewa kwasababu kaona umri unaenda, au rafiki zake wote wameolewa au kafata kitu fulani(like pesa na vitu kama hivyo), sasa ukiolewa kwa sababu kama hizo hapo, stress utazikwepa vipi au utaenjoy vipi? maana hapo hakuna mapenzi ya kweli. ukimpata yule wa kwako kabisa(ubavu wako) utajiona ka uko peponi maana mnapendana kwa dhati na kwenye penzi la dhati hakuna kuumizana wala nini, ni kujiachia tu na raha!
   
 4. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tafuta mtu ambae atakua kweli mumeo ndio utaona utam wa ndoa,ukipata kimeo umeliwa dadaa!!
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  mleta hoja wala usihofu maisha ya ndoa ni matamu asikuambie mtu.Ila kusema ukweli inategemea tena na wanandoa wenyewe.kwetu wanasema "fujaga ndimu utizofuja nhola"yaani bora ukosee kulenga mnyama porini unapompiga risasi kuliko kukosea kulenga mke au mme.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Sep 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Tatizo unaweza ukatafuta weeee na usipate. Sasa usipopata ufanyeje? Settle for less? No way Jose....I'd rather stay single and mingle whenever I want to....
   
 7. m

  mperwa Member

  #7
  Sep 23, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ukiwa na subira unapata tu! wapo wengi tu
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Sep 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Unavyozidi kusubiri na umri ndio unaenda. Sasa wewe ni mwanamke unakaribia miaka 40, huna mtoto utaendelea kusubiri hadi lini?
   
 9. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kuna kitu nimejifunza kwenye maelezo yako, ila unajua maisha hata mimi ambayo nayapenda ni kuishi single maana sipati bughudha ya mtu yeyote, nipo very free, lakini pia sometimes unafeel lonel flan hivi kama unahitaji kuwa na mtu vile.

  ila kwa maisha ya single magonjwa nayo ndo hayatakuchelewesha kukuharibia future yako. then ukajikuta looser kote kote na maanisha maisha ya ndoa utayakosa na pia huo ufree utaukosa, cha msingi ni kukaza moyo tu
   
 10. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kuna article moja niliisoma inasema "maambukizo ya AIDS kwa wanandoa yameongezeka" sasa hapo yupi kati ya single na mwanandoa anaweza kuepuka nadhani kwa single muda wote unajikinga na mwanandoa hapo utajikinga vp? Bora single tuu hapo
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Sep 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Mbona unaweza ukawa na rafiki (companion) tu bila kuwa na commitment? Watu kibao siku hizi wana opt hivyo. Hivi inakuwa rahisi hata mkitibuana kila mtu anaanza kivyake...mkikumbukana mnarudiana tena.
   
 12. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hapo mkuu umenena kuna hii kitu inaitwa "Friend with benefit" yaani

  "Friends with benefits is an agreement between two people who are both friends and physically attracted to one another to have a sexual relationship. Neither party is considered committed to the other, and both can start dating someone else at any time with no prior warning. A friends with benefits arrangement is not considered dating, a relationship, or even casual dating by most people who use the term."
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Mkuu hujawahi onja tamu ya ndoa. Ukimpata right partner, nakuhakikishia hutajuta kuoa/kuolewa. Am experiencing 10 years of happily marriage. Nakwambia, sijawahi kujuta kuoa, actually huwa najuta kwanini nilichelewa kuoa.

  So mtoa mada, mi nakushauri usifikirie zaidi ubaya wa kuolewa, bali jaribu kuangalia na upande mwingine. Omba Mungu umpate right partner, am telling you HUTAJUTA!
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Sep 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  See, you are just assuming here without knowing exactly how I arrived at that conclusion. To keep it pithy, been there done that.
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Lol! Pole! seems she was not your right Partner. Try again pal, you are missing something, I bet!
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Sep 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Nah...I'm not missing anything. There are plenty of desperate women looking for men/ potential husbands but I keep saying 'thanks, but no thanks'.
   
 17. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kuwa single ni okay ndani ya umri fulani, kama unaingia kwenye 40's, 50's, 60's bado uko single raha yake inakuwa inapungua na upweke unaongezeka hasa pale marafiki wa rika lako wanapozidi kupungua kwa sababu wameoa/wameolewa

  kuvunja commitment yeyote unayoifanya kwenye relationship inaweza kukupa headaches na presha na kukuumiza roho sana hata kama hujaoa/hujaolewa so kuganda kwenye relationships bila kuoa hakuta kuepusha na machungu

  hakuna chenye afadhali, kuwa single maisha yako yote kama hukuumbwa kuwa single ni tabu tupu na kuwa na unhappy marriage ni tabu kubwa vilevile
   
 18. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  I'm in dillema, I don't know which is better.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Sep 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  I am better....
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,811
  Likes Received: 83,208
  Trophy Points: 280

  But don't loose hope please!...I like your avatar ;)
   
Loading...