Imekaaje hii wadau!!?

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,731
Imetokea katika baadhi ya familia pale mama kujiuliza kama mwanae yupo kamili kimaswala pale anapoona mwanaye wa kiume hadi kufikia miaka 20 yupo yupo, hana mazoea na mabinti wala hata haonesha nia ya kusarandia vibinti, wala hajawahi hata na skendo ya mambo hayo, na wakati mwingine humwabia bintiye awe anawaleta marafiki zake nyumbani au hata kumpigia pande. Mfano rafiki yangu ashawahi ulizwa na anko wake kama yupo fiti maana hajawahi kuonekana na binti yeyote.

Je!! hii ni sahihi??? au ni upotovu wa maadili!!
Nawakilisha
 
Back
Top Bottom