Is this happening in our daily life? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is this happening in our daily life?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kisoda2, Oct 7, 2009.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  This topic needs honest comments from you guys.

  Men can live/survive with his girlfriend/wife for a long time if she lost her job before she get another or even she doesn’t have a job at all, men still will keep on taking care of her.
  But this is quite different to a lady, she can’t survive it or if she can, just only for a year otherwise she will walk way period!

  Guys, what is your honest opinion about this
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Its because hehind any succesfull man there is a woman, but behind any succesful woman there is no man!...lol!
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  How true!
  Its a common phenomenon to see men supporting their not-so-successful women iwe ni mke au girlfriend.Wanakuwa comfortable na mwanamke ambaye yuko chini au katikati kimapato au kicheo.Hawapendi wenye extreme successes au wasiokuwa na kitu kabisa.
  Sijui inakuwaje.
  I guess its natural for men to feel insecure kuona mke anajimudu.Na hapo ndipo msemo wako unaingia squarely.There is no man behind any successful woman.
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Man kama mume au Man kama mwanamume mwingine tu! maana mbona kuna successifull woman wengi tu wamehongwa sana ndo wakawa successifull?
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,110
  Likes Received: 24,157
  Trophy Points: 280
  Niseme kiukweli, mi nilifulia miaka miwili sina kazi. Then nikaamua kupiga shule kwa miaka mitatu, halafu nikakaa miezi sita baada ya hapo lakini my darling wife hakunitosa. Hapa labda tuwe wazi kuwa si wanawake wote wenye tabia hii. Na ukweli inategemea mwanamke wako alikupendea nini. Kama ni fedha itakula kwako, lakini kama ni malavidavi, kama ilivyokuwa kwangu, aaaaaaah, asepe aende wapi bana wakati mjengo unaomfikisha ninao mimi?
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mkuu

  mtoa mada amesema:  Wewe ulikaa bila mawasiliano mazuri na Benki MIAKA mitano na miezi sita ... na isitoshe matumaini yalikuwa makubwa maana ulikuwa unapiga shule which means hata baada ya 4 years ungenza kuwa na maudhurio mazuri kwenye ATM!

  Mwanamke (Wife, Concubine, GirlFriend (not sure what that mean)) hawezi kuishi na Mwanamume kama yuko vibaya ki-fedha kwa muda mrefu!

  Amen Iwe nawe
   
 7. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  There is no man behind any successful woman? for real? any? thats a pretty strong word, not even the father?

  On a slightly different aspect of the same issue.Kwa nini wanawake wengi hawataki mwanamme mfupi zaidi yao? Wanawake karibu wote wanataka mwanamme aliye mrefu zaidi yao, at the very least same height.

  Wanawake wana insecurity kuhusu kuwa leaders/ ahead/ taller?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Oct 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  I guess some say if a man is shorter than them then the man will be insecure. Some say a taller man is more attractive. Bottomline is they want a taller man for purely vanity reasons for insecurity has no boundaries.
   
 9. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Aaamennnni,iwe nawe pia.

  Ni ukweli usio pingika wanawake walio wengi hawawezi kuvumilia pale inapotokea umefutwa kazi na yeye bado yuko kwa kazi.Hivyo utaona kuna vijivisa visa vya hapa na pale kuwa anakereka kwanini wewe hupati kazi/ATM haicheki.Na kama atakuvumilia basi mwaka mwingi.kinyume na hapo utakuta mabadiliko meeengi na mambo yote yatakuwa mwemwele mwemweleee!!!
   
 10. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Thanks for this!
  I guess thats how it has been.
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Strong as it may be... huo ndio ukweli in general terms katika mahusiano - ukiachilia mbali father/brother figure.
  Mama/dada hawawezi kukutosa unapofulia, watakusaidia - again this is the general rule - exceptions hazikosekani.
  La wanawake kupenda wanaume warefu nadhani Julius kalisemea vizuri sana.Kuna wanaume wafupi wengi tu wana wake/gfs warefu tena warembo sana.Ni mapenzi ya mtu kufuatana anachokipata kwa mhusika.
   
 12. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Sio wanawake wote wanatosa wanaume kama hawana pesa, hii inategemea. Kama upendo ulikuwa wa pesa hapo kweli unaweza kumtosa, ila mkiwa na pendo la dhati hamuwezi kuachana hata mpite katika milima na mabonde.
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,878
  Likes Received: 83,358
  Trophy Points: 280
  J, What about Hillary Clinton or our own successful woman Asha Migiro!?
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  J. no comment for now.
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  du heee hii ya kwako naifikiria ninaweza kusema kuna ukweli na pia ninaweza sema inawezekana pia kwa mwanamke kumlinda na kumvumilia mwenzie kwa hali na mali mpaka pale atakaporudi barabarani tena ,,Muhimu pale ni mapenzi na maelewano yenu
  Ila kwa sisi wanawake wengi sijajua ni kwa nini tunashindwa kumtunza au kumuhudumia mwenza katika kipindi kigumu anachopitia
  sijajua kwa nini tunakata tamaa mapema ,au ndio hiyo toka katika biblia asili yetu tumetoka katika ubavu wenu na asili yetu sisi ni tegemezi

  lakini nadhani tunahitaji sana kubadilika hasa pale tunapodai haki sawa ...
  Nini maana ya haki sawa???
   
 16. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Kwa cc tuliokwisha zisoma alama za nyakati hivi viumbe havitusumbui,we cant call em bitches,but they are unstable creatures,tunajaribu kuwahandle kadri ya uwezo wetu,na time ikifika ya kufulia we just let em go,as there is a good number of em and they are nearly the same,they are vulnerables needs our good care!!
   
Loading...