Peek into the lives of happy couples and find out how these four love moves will bring you closer than ever.
What do couples who describe their relationship as spectacular do differently than...
kuna mshikaji wangu fulani ana mpenzi wake. Huyu jamaa alisota sana mpaka kumpata huyo mpenzi ikiwa ni pamoja na kupewa majibu ya kukatisha tamaa hapo mwanzoni. Siku ya siku ilipofika alikabidhiwa...
What do you do when you see a woman you are attracted to? Do you run and hide? Do you use some canned line that you read on the Internet? Do you stand there in fear trying to think of the right...
Eti ni kweli imekuwa ikitokea katika mahusiano tuliyo nayo ..long ago ulikuwa na mpenzi ambaye ulimpenda na yeye alikupenda kwa dhati lakini katika mazingira yasiyoeleweka inatokea msiwe pamoja...
Kuna mtu anaomba msaada wenu. Yeye anajuta kuwa na uhusiano na mke wa mtu. Kwani sasa maji yamefika shingoni. Amekuwa katika uhusiano wa siri kwa zaidi ya miaka 4, na cha ajabu kwa jinsi...
Kwa mujibu wa watalaam wa masuala ya ndoa na mapenzi inaelezwa kwamba wapenzi wanaoachana huwa hawana sababu za msingi, hii inatokana na ukweli kwamba wanaoachana hawafahamu kiini...
Kwa nini maumivu ya talaka au kuachwa na mpenzi huwa machungu zaidi ya kifo?
Kawaida inapotokea kifo jamii nzima huhusika kwa kuwa ni suala la jamii nzima yaani msiba, watu wote wanakuja kulia na...
Hi JF:
Inteligence anaileta kwenu software ya simu za mkononi yenye uwezo wa kujua,kusoma,kusikiliza simu/sms kutoka kwa mpenzi/mke/mume kama kwa ujumla
unahisi anaeza akawa anatembea nje ya...
MWANAMKE Mwanaidi Majid anasakwa na jeshi la polisi kwa kitendo chake cha kumuua mume wake kwa kumchoma na kisu baada ya kumfumania.
Mwanaume huyo aliyeuawa alifahamika kwa jina la Jophrey ama...
hivi ukipata habari au kutazama katika video fulani na kujifunza stail fulani katika mambo yetu yale,unafanyaje kumueleza mwenzio maana mimi nikimwambia mwenzangu anadamimi ni mhuni kwamba...
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia...
BRILLANT, BRILLANT, BRILLANT
A businessman met a beautiful girl and agreed to spend the afternoon with
her for £ 500. They did their thing, and, before he left, he told her that he
did...
LIST OF POSSIBLE SLOGANS PROMOTING NATIONAL CONDOM WEEK
1. COVER YOUR STUMP BEFORE U HUMP
2. BEFORE U ATTACK HER, WRAP YOUR WHACKER
3. DON'T BE SILLY, PROTECT YOUR WILLY
4. WHEN IN DOUBT...
Wapendwa wanaJF, nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuhusu kabla mtu hajaingia kwenye ndoa akaambiwa ukweli kwamba mwenzi wake alikuwa na tabia ambazo sio nzuri, kwa mfano umalaya, uhuni, ulevi...
Wakuu X.mass inakaribia nimeamua kwenda kujipumnzisha nyanda za juu kusini. Hivi nimeeneo yapi naweza nikapiga kambi na nikaenjoy kuanzia Moro kwenda nyanda za juu kusini.
Siri ya Kuvutia.....
SIRI YA KUMUTIA MUME MUDA WOTE:
Ni kweli upo kwenye mahusiano na katika mahusiano yako mwanaume uliyenaye ni wa uhakika, safi kabisa na hongera sana.
hata hivyo linakuja...
Hizi ni dalili za kupigwa kibuti na mpenzi wako, zipo nyingi sana am sure of that, kama vipi wakuu mlioguswa/mnaojua zinginezo zileteni tuhabarishane mazee...
A: Anapata kigugumizi...