Amenogewa na penzi lake (ana wivu mbaya) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amenogewa na penzi lake (ana wivu mbaya)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pape, Dec 23, 2009.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kuna mshikaji wangu fulani ana mpenzi wake. Huyu jamaa alisota sana mpaka kumpata huyo mpenzi ikiwa ni pamoja na kupewa majibu ya kukatisha tamaa hapo mwanzoni. Siku ya siku ilipofika alikabidhiwa ufunguo! Kwasasa ni wapenzi kama wiki 3 hivi! mpenzi wake anasema anampenda sana jamaa ndio maana alikuwa anamchunguza kabla ya kumpa jibu la ndio!

  Baada ya wiki moja huyu jamaa amegundua kwamba mpenzi wake ana wivu sana kwani hata jamaa akiwa anachati katika facebook, yahoo anahisi anachati na 'wanawake wengine'. jamaa amemweleza sana na kumtajia hata marafiki zake lakini bibie huyo anaona kama anaibiwa vile! Huyu jamaa ananyumba yake na mpenzie pia ananyumba yake! sasa mamaa anataka kila siku jamaa awe analala kwake (nyumbani kwa bibie) hata kama hawali tunda! Lengo sijui ni kutaka kuwa na uhakika kwamba anapata uhakika kwamba 'haibiwi'...

  Jamaa yangu kwakweli anaona kama vile hii ni kero kwani hana nafasi hata ya kuongea na simu kwa uhuru, kuchati na washikaji na hata kutumia muda hapa JF...

  Je, atumie mbinu gani kumwelewesha bibie kwani hata yeye anampenda sana na hataki kumpoteza!
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  upuuzi mtupu!
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mpuuzi huona kila kitu ni upuuzi!
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2009
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  what did he expected. thumb up kwa huyo mwanamke, mkome kuruka ruka hovyo.
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  well noted!
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mnadanganyana/ibiana tu....wiki 3?....hakuna kitu hapo.
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Si ndoo hapo!UPUUZI MTUPU!
  pole na msiba
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  nshapoa ndugu na jana tulikuwa na frnd tunamliwaza kidogo......Bora ujiolee baby boy mana naona mapenzi ya uzushi yanachipuka kila kukicha.....
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ukipenda BOGA penda na ua lake, so jamaa inabidi apige kimya tuu
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Dec 23, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Need I ssay more?

  halafu anaomba ushauri atumie mbinu gani KUMUELEWESHA huyo mpenziwe!!
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Mi nadhani kwa wiki tatu, kisha huyo bwana 'ameshachoka' tayari na vituko vya bibie, hapo kuna walakini.

  Scenario mojawapo ni kuwa huyo bibie alikuwa na mtu mwingine na sasa amemmwaga ndo akaona arudie kwa jamaa kumdanganya kuwa 'alikuwa anamchunguza'...na kwa vile anajua kuwa ukishapoteza kupata tena sio rahisi ndo anajifanya kuwa na wivu wa kupindukia!

  Ninachomshauri huyo bwana ni kuwa akae naye amweleze wazi wazi nini matarajio yake/yao kwenye hiyo meli mpya MV mapenzi, ili baadaye kusije kukatokea kutokuelewana kama hivi!
   
 12. K

  Kijamani Senior Member

  #12
  Dec 23, 2009
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Oeni vijana!
   
 13. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nani wa kumuoa?
   
 14. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  A Holy Child born unto us
  to redeem a lost world of sin
  Filling hearts with love and joy
  weary souls He came to win
   
 15. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanawake!!!
   
 16. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Shida ilikuwa kula tunda kesha kula sasa anaanza visababu
   
 17. Rah_sputin

  Rah_sputin Member

  #17
  Dec 25, 2009
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mahusiano ya kileo shida tupu! Hivi huwa mnajua mnachokitaka?
   
 18. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Sidhani kama kuna love ambayo inakolea kwa week 3...ni siku ndogo sana yaani na hapo kuna walakini sio bure...ila mwambie jamaa awe makini sana!!
   
Loading...