Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa muda mrefu nimechunguza sana juu ya uhusiano wa MAVAZI na MAPENZI(LOVE).Nimegundua wapendanao wengi wa kiume na kike hupenda sana kuvaa mavazi yanaleta mvuto kwa namna moja au nyingine,na hili...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nyamayao naomba unisamehe but nimepata wazo toka kwenye post yako moja- Je wapwa mnasemaje juu ya adhabu ya kunyimwa gemu!! Hapana tusiite adhabu bali kwa mfano umembore/umemkosea mwenza mf...
0 Reactions
104 Replies
9K Views
...Low self-esteem! ...Katika maisha ya mapenzi na ndoa mjihadhari sana na masimango ambayo yatampelekea mtu ajione kumbe yeye si lolote si chochote kwako. ...mtu aliye suffer low-self esteem...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa kwenye relationship ya up and down na nimeteswa kinoma. Tumezaa mtoto na huyu mwanamume lakini alivyosikia mi mja mzito akaanza kuwatongoza wanawake wengine na nikasikia anafunga ndoa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari jamani, Kuna jambo moja binafsi linanisumbua akili yangu saana, Kwa uchunguzi wangu mdogo nimegundua kuwa Maeneo ya pwani, namaanisha Tanga, Dar, Mombasa, Kuna tabia ambayo siyo nzuri...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Rihanna and her new boyfriend. Rihanna and Matt Kemp: Rockin' the Boat
0 Reactions
79 Replies
9K Views
Jamani Mola kanijalia mtoto wa kiume anafanana na baba yake na babu yake sijui kama tabia zitafanana na baba yake na babu yake, pia nimempa jina la babu yake sijui atakuwa na tabia za babu yake...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu jana usiku nusura apigwe na wananchi wenye hasira baada ya kukutwa akimchungulia mtu aliyeko ******, kama mjuavyo wadau nyumba zetu za kitaani choo cha nje...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
RDC Jurua and wife Josephine Akello serving nurses with a wedding cake after they exchanged vows on Ward 6C By Ayiga Ondoga PATIENTS at Mulago Hospital witnessed a rare spectacle on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://news.yahoo.com/nphotos/South-African-President-Jacob-Zuma/photo//100104/481/1110e0c2cf5446108098a06bf83f304b//s:/ap/20100104/ap_on_re_af/af_south_africa_zuma#photoViewer=/100103/481/70aafab9...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
jamani mabinamu wote ladies/ gents niliwamiss na nawapenda sana sina la kuwaambia 2010 sitaki kufulia tena
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Hi good people? likizo ilikuwaje kwa wale walioenda vekesheni...fidel ;) and co.??? Yangu ilikuwa bomba...If you are reading this post, I want to thank the Almighty for your life and health today...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
By Ali Mambule RESIDENTS of Mabaale LCI Kiragga parish in Masaka district were yesterday morning shocked when they found the body of one of their fellow villager with the neck slit and private...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi huwa nafawanyia research hawa viumbe kwenye mitandao mbalimbali ya urafiki na uchumba. Mwanzoni tunachati fresh tu, linapokuja swala la kutaja sehemu nilipo, ndo hapo ninapowachezeaga akili...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Tuendelee 7 : Mkibeba fikra binafsi kwa kila mtu kutaka mafanikio yake. Maisha ya wapenzi wengi yamekuwa yakipoteza maana kiasi cha kufikia kuchuja kutokana na wapenzi wenyewe kuwa na mawazo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Waume zetu nao....... Alywas; handle with care!Makosa wanaume hufanya wakiwa na wake zao kitandani HAKUNA KUBUSU Kuepuka kubusu lips zake na kwenda moja kwa moja kwenye erogenous zones zake...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuna tabia ya vijana imeanza siku hizi kwa kujiajiri kukata kucha za miguu za wake wa watu na wasichana wavivu kweli inanipa wasix2. Nimeona jinsi mmojawapo hapa anavyokumbatia mama mguu mmoja...
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Wanandugu nimeona mada ya kinyaia akiomba kupiga picha na didie drogb a wa ivory coast,bahati mbaya akufanikiwa leo hii ukurasa wa mwisho dar leo kuna picha didie anaonekana katoka mazoezi kashika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Akijua ufunguo wako halisi, kwake ni rahisi mno! Mke mtiriri (sensuous) anafahamu namna ya kumfanya mume wake kuwa tayari kwa ajili ya tendo la ndoa (seduce) pia ni kweli kwamba mume mtiriri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kumbuka! Usione vinaelea, vimeundwa! Je, umawahi kujiuliza ni nini siri ya mahusiano yanayodumu kwa muda mrefu let say miaka nenda rudi na wahsika wakawa na furaha na kicheko bila unafiki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…