Mh kova nae aliomba picha na drogba??

Mh kova nae aliomba picha na drogba??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
Wanandugu nimeona mada ya kinyaia akiomba kupiga picha na didie drogb a wa ivory coast,bahati mbaya akufanikiwa
leo hii ukurasa wa mwisho dar leo kuna picha didie anaonekana katoka mazoezi kashika jesi,mzee wa watu kamanda KOVA kasima mama pembeni yake kama anampa salute;ssasa na huyu nae aliomba au aliombwa picha na drogba
 
Back
Top Bottom