Waume zetu nao.......

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
37,078
Likes
6,665
Points
280

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
37,078 6,665 280
Waume zetu nao.......Alywas; handle with care!
matikiti.bmp
Makosa wanaume hufanya wakiwa na wake zao kitandani

HAKUNA KUBUSU
Kuepuka kubusu lips zake na kwenda moja kwa moja kwenye erogenous zones zake unafanya ajisikie ni kama malaya anayelipwa kwa saa kile mnafanya.
Kumpa passionate kiss ya uhakika ni moja ya essentials za great sex kwa mume na mke.

KUVUTA MATITI
Wanaume wengi wanapokuwa kitandani na wake zao ile kukabidhiwa mwili tu hurukia kwenye matiti na kuanza kuyabonyeza kama vile anapima watermelons kama zimeiva.
Matiti huchezewa kwa ulaini, so caress and smooth them.

KUUMA CHUCHU
Si ustaarabu kuuma chuchu kama vile unataka kung’oa matiti yote na kuondoka nayo badala ya raha inakuwa karaha.
Chuchu zipo sensitive mno na haziwezi kuhimili kitendo cha kung’atwa.
Kwa nini usizimung’unye na kuzilamba kwa upole na kuzungusha ulimi wako kwa ustadi huku ukimpa raha yake?

KUKOMALIA UKE NA MATITI TU.
Mke ana mwili ambao ni kiwanja kikubwa sana ambacho unahitaji kucheza.
Kwa nini ukimbilie moja kwa moja kwa matiti na chini wakati kuna uwanja mkubwa wa kumchezea.
Kumbuka mwili wa mwanamke kama ulivyo ni one single sex organ.

UZAZI WA MPANGO NI JUKUMU LA WOTE
Tabia ya kumwachia mke mess ya Life style utilities (condom) uliyovaa wewe na kuitumia wewe si sahihi kama unaivaa, store it, use it and dispose it, wewe na si yeye, kwa nini umwachie kama zawadi wakati si zawadi.
Si hutaki kuzaa watoto 35 basi na wewe wajibika!

KUVAMIA KISIMI
Kuvamia na kugandamiza kwa nguvu au kubonyeza kwa nguvu (direct presure) huumiza ama sivyo muulize mke wako anajisikiaje kwani wanawake nao huja kwa size tofauti, namna tofauti, maumbo tofauti, kelele tofauti, wembamba tofauti, ufupi na urefu tofauti, rangi tofauti na mahitaji ya kitandani tofauti

KUJIPA MAPUMZIKA GHAFLA
Wanawake tofauti na wanaume hawawezi kurudi kwenye hali ya kwanza wakiachwa solemba, kama ukisimama wao hurudi square one ghafla.
Hivyo ukianza mziki lazima uhakikisha unaendelea kwa gharama zote.

KUMVUA NGUO KAMA VITA
Hakuna mwanamke anapenda kuonekana stupid, unamvua nguo kwa vita hadi inakwamba shingoni kwa dakika 10 ni kumfanya aonekane stupid, mvue nguo sawa na unavyofungua zawadi special siyo kama unavyofungua toy la mtoto wako.

KUCHANGANYIKIWA NA UKE.
Ingawa wanaume wengi wanaweza kufahamu kisimi kipo wapi kwenye uke wa mwanamke bila ramani, bado mtazamo wao kuhusu uke unashangaza, haichukui sekunde baada ya kupewa mwili kupeleka mkono pale chini na kuanza kuchachafya mkono kama anaiba noti mpya za bank kupitia chimney ya nyumba.
Ni kweli lazima uhangaike kuhakikisha mke wako yupo aroused hata hivyo kuwa mwangalifu bila kumuumiza ni jambo la busara zaidi.
Pia ni vizuri kujihusisha zaidi na kisimi chake na maeneo ya nje kidogo kabla ya kuingia ndani zaidi na pia kuwa na mawasiliano naye kuuliza anajisikiaje.

MASSAGE JEURI
Eti unataka kumpa sensual and relaxing massage ili kumuweka kwenye mood kwa kutumia magoti na kiwiko! Kwa kutumia viganja vya mikono na vidole it is okey na si vinginevyo.

KUMVUA NGUO MAPEMA
Yaani hata hajaonesha move yoyote tayari unaanza kumvua nguo zote, huo ni uhuni
Au hata hamjafika popote mwanaume umeshatoa nguo zote na kujiweka tayari tayari, wewe unataka uogopwe kama njaa.

KWENDA HARAKA
Ukishaambiwa yupo tayari sasa unaweza kuingia kwako ni vita una pump kama industral power tool, si muda mrefu atajisikia yupo kwenye assembly line inayotumie technologia ya mwaka 47. nenda polepole, safi na kwa utaratibu.
Haraka zako zinakufanya mara umgonge na kiwiko au magoti kwenye tumbo lake lain na maumivi ni zaidi ya teke la punda.

KUMALIZA HARAKA AU KUCHELEWA SANA
Hapa ndipo kwenye hofu kubwa ya wanaume wengi, kama ukishuti kabla ya kuona macho yake kugeuka na kuwa blue umechemka!
Otherwise uwe na backup plan B kuhakikisha anaendelea kupata raha hadi awe na macho ya blue.
Kama unadhani kumpigisha gwaride zaidi ya saa moja bila kufika kileleni wewe ni shujaa, kwake pia ni stress kwani ni aina gani ya uke zaidi ya saa hakuna kitu.
Lazima ujue kusoma ramani, majira na nyakati kwani too much is harmful.

Zipo adha nyingi wanawake hukutana na hekaheka za wanaume kitandani naamini kwa leo inatosha
 

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
14,873
Likes
1,536
Points
280

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
14,873 1,536 280
Ni Utaratibu tu wa wahusika!! hakuna shule hapo. unless unasema kwa wapiga kura wapya wanaoanza kilimo kwa mara ya kwanza....au wanaobadilisha kilimo, kuwa cha kutumia bolea ya minjingu!!!!

cheki senksi lakini nimekutupia hapo!
 

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,851
Likes
22,942
Points
280

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,851 22,942 280
hivi wewe p didy ni mwanamke?????????????
??????????????????????????????????????????????
 

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
28
Points
0

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 28 0
the Boss....this is what you can say...kwani inakuhusu nini?
hivi wewe p didy ni mwanamke?????????????
??????????????????????????????????????????????

KUMVUA NGUO KAMA VITA
Hakuna mwanamke anapenda kuonekana stupid, unamvua nguo kwa vita hadi inakwamba shingoni kwa dakika 10 ni kumfanya aonekane stupid, mvue nguo sawa na unavyofungua zawadi special siyo kama unavyofungua toy la mtoto wako.
i like it teh teh teh ....
 

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
10,217
Likes
97
Points
145

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
10,217 97 145
wanawake wengine nao ni matatizo. wakifika kitandani wanalala tu aidha na ubavu au na tumbo kisha anasubiri umvue na uanze kumwandaa kisha umfanye. yeye yuko kama gogo tu, na anataka kuridhika kabisa. ukimweka juu anaganda tu bila kujishughulisha. hawa nao si tatizo? na wako wengi
 

Forum statistics

Threads 1,190,287
Members 451,082
Posts 27,666,623