Wakata KUCHA wake za WATU za miguuni

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Kuna tabia ya vijana imeanza siku hizi kwa kujiajiri kukata kucha za miguu za wake wa watu na wasichana wavivu kweli inanipa wasix2.

Nimeona jinsi mmojawapo hapa anavyokumbatia mama mguu mmoja huku anakwaruza na kupuliza unyayo mpaka huyu mama anasinzia na amevaa kimini na ni mweupee pee sasa huyu kijana ananyanyua mguu mpaka begani kwake huku akiwa amekaa chini na huyu mama amekaa kwenye kiti. Na anaoneka ni mtu wa makamo ya kati.

Sidhani kama ni sahihi. labda wenzangu mnifumbue macho labda mimi mshamba.
 
Nitaua kiumbe yoyote atakae temper na kucha za dada ake x-pin
 
Nikimkamata wangu anampa mguu mkata kucha..... du itabidi nidumishe mile.
 
Nikimkamata wangu anampa mguu mkata kucha..... du itabidi nidumishe mile.

hilo linaenda sambamba na wapaka rangi...halafu wapaka rangi wengi wana vibiongo kisha wanatembea wakirusha mikono kama mademu nasikia wameshaharibikiwa
 
hilo linaenda sambamba na wapaka rangi...halafu wapaka rangi wengi wana vibiongo kisha wanatembea wakirusha mikono kama mademu nasikia wameshaharibikiwa

Ha ha ha ha nafikiri huyu atakuwa yule aliyeanzisha thread akilalamika yeye GT na sisi ni wa vijiweni.
 
Nikimkamata wangu anampa mguu mkata kucha..... du itabidi nidumishe mile.
by the time nguli unadumisha mila mimi nitakuwa na a HUUUUUGE CLUSTER OF LADIIEEZ!i mean nitakuwa CHIEF WA MILA ZETU ZA JADI
 
Hao wa mama na wadada ni uvivu hakuna lolote
kila fani si ina wataaalm jamani??? hata kutengeneza kucha tunapenda kwenda kwa wataalam ili tupate kilicho bora!!!!!!

Ila wanaboa jamani tuache utani....tabia zao ni zaidi ya zile za kiumbeambea duh!!! irritating!!!!
 
Hakuna tabia nyingine walioko nayo tena zaidi ya hio????
 
Hivi usafi na afya huwa vinazingatiwa kweli, kukata kata kucha bila ku-sterilize hivyo vifaa hivi si watatumaliza?
 
Mi wa kwangu hata nywele namsuka mwenyewe!

MAMA YANGA!!!!!
mpwaaa sasa huko ni kukaba penati au?? Tuwe wawazi hapa kweli wangu huenda saloon na hutengenezwa nywere na kuoshwa miguuu sijui mwa iita manequer au pedicure watu wa saloon wanajua hilo.

Ila kumfanyia massage mie mwenyewe nafanya all the equipment zipo home.

Hakuna tabia nyingine walioko nayo tena zaidi ya hio????

MMH Nguli wale hawana tena hamu na wanawake, wamekinai, nadahni kutushikashika vile kuna waathiri ndo maana wengine wankuwa si riziki tena.

chunguza hata hao dezainaz wa nguo!!! modoz wanawavulia nguo hapo, then they dress them then kesho wewe unahamu ya mwanamke na kila wakati unawashikashika hapo!!!??
 
Hivi usafi na afya huwa vinazingatiwa kweli, kukata kata kucha bila ku-sterilize hivyo vifaa hivi si watatumaliza?

mama hapo sasa ndo uwe makini, wengine hawana wala hawjui sterilaiza ndo mdudu gani! unatobolewa wewe na mimi nikija vilevile
 
Nitaua kiumbe yoyote atakae temper na kucha za dada ake x-pin
Utamuuaje mkata kucha wakati yeye ndio kazi yake na dadako ndiye kampelekea kucha zake azikatee????. Dawa ni wewe kumzuia dada ake x-pin kwenda kwa mkata kucha.
 
Mie hua najipedicure mwenyewe hii mambo ya kwenda kushikwa shikwa miguu na mgosi siwezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom