Jk iga mfano wa mwinyi na zuma? Acha ukimya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk iga mfano wa mwinyi na zuma? Acha ukimya...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Semilong, Jan 6, 2010.

 1. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  [​IMG]  [​IMG]

  http://news.yahoo.com/nphotos/South-African-President-Jacob-Zuma/photo//100104/481/1110e0c2cf5446108098a06bf83f304b//s:/ap/20100104/ap_on_re_af/af_south_africa_zuma#photoViewer=/100103/481/70aafab9f3f240468ddabe57899f5e28

  ukiwa rais unatakiwa uweke familia yako wazi na wananchi wote wajue sana sana idadi ya wake, bila kufanya hivyo watu wanakuona hauna maadili.
  Mwinyi aliweka wake zake bayana na alikuwa na heshima kubwa sana na watu walikuwa hawana matatizo na idadi ya wake zake.
  kitu kinachoniudhi ni pale unaposikia JK wanachi wakibishana kama yule ni mke wa JK au la, alafu wanaishia kusema JK kiboko.
  Please JK do the right thing na fuata nyanyo za Mwinyi.
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Duuh! Nime mind lile tumbo na usafiri wa mzee Zuma. Naona ame balance vizuri bila kuanguka maana ile ngoma walikuwa wanacheza zulu warriors enzi zile.
  Ila mkuu, hiyo heading hapo sio ndo yale ya akutukanaye hakuchagulii tusi?
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,122
  Trophy Points: 280
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehehe!
  kwenye hili jeikei UTAMSAMEHE BURE
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hapa no coment
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Jan 7, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  jAMANI MI CTAKI
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Na Mr. Zuma anadumisha mila kikweli kweli..Sidhani kama muungwana JK anaweza kujichanganya kwenye Gombe sugu la kwao au Msondo!!!
   
 8. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2010
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Ni maisha ya mtu binafsi, hwezi force JK akawa kama zuma au mtu mwingine yeyote.
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kwani jk ana wake wangapi? Acheni kumzushia
   
 10. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  but we need to know his family properly, au mnasubiri akistaafu ndo mjue budget inayotoka kumtunza yeye, nyumba kubwa na nyumba ndogo ndio uanze kuhoji hili. Its the right thing to do, to put things into the open, why would someone hide his wife? i don get it, after all deen inaruhusu.
  Tena nasikia ni mtoto wa rostam aziz, i duno!:(
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  Jan 7, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  si ana mke mkubwa yule mama yake Ridhwan na huyu mama wa yule mtoto alieshinda chipukizi, namaana mama Salma Kikwete.
   
 12. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60

  Hapo chacha! , na Li EPA ndo hilooooo! halafu mnasema atawatosa, thubutu!
   
 13. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2010
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  then ukishajua inakusaidia nini kwa maendeleo ya tanzania?Acheni uzushi, huyo RA anamiaka mingapi na kuwa na mtoto wakuolewa na Mkuu wa kaya.
   
 14. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Nguvumali, huyo alishatangulia mbele ya haki - Mungu ailaze mahala pema Peponi!
   
Loading...