Kumchungulia mkeo msalani

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu jana usiku nusura apigwe na wananchi wenye hasira baada ya kukutwa akimchungulia mtu aliyeko ******, kama mjuavyo wadau nyumba zetu za kitaani choo cha nje, bibie alisimulia baada ya tukio kuwa jamaa alikuwa naye ndani, mara ghafla tumbo likamzingua akaamua kukimbilia toilet, lakini akiwa huko akiendelea na shughuli akasikia purukushani nyuma ya choo, alipotoka akakuata mumewe anataka kupigwa kisa eti alikuwa anakula chabo ******, ndipo ilipobainika kuwa kumbe jamaa ndiyo mchezo wake, keshawachungulia sana wake wa wapangaji wenzake na walikuwa kila wakimuuliza anakataa sasa jana wakamdaka tena akimchungulia mkewe, waungwana tabia hii inatokana na nini?, ni matatizo ya akilii au saikolojia?
 
si anapandisha stimu tu mazee?.........

LAKINI DUME LENYE UHAKIKA HJALIMCHUNGULII MKEWE
 
Nadhani kuna kitu fulani wanachofaidika nacho, kwani habari hizi nimezisikia sana huko Zenj, sijui wana matatizo gani. Ila bahati mbaya kwamba kazi yenyewe inaonyesha ni ya hatari hivyo itabidi nao wasajili syndicate yao ili wafahamike vinginevyo watajafia kazini!!
 
videmu vingine ovyo kabisa. unaona sasa kamehatarisha maisha ya mumewe????????

kanajifunifununika mpaka kana boa, hivi hyo bwana amewahi hata ugusa nanihii ya kademu kake. manake kama picha ya live tu hapati hadi apige chapo,je kugusa? uvinza ndio kabisaaaaaaaaa asahau!

huyo mama akifanya ne shughuli hujifunikafunika adi mzee anamiss picha za live. mama apigwe shule ya majambozi aondoe aibu asijifiunukefunuke mkama anafanya na kaka yake!
 
mkeo unamchungulia au unamwangalia???
Inaonyesha hawa ndo wale wa usiku kwa usiku, milango inafungwa, net inashushwa, taa inazimwa na wanaingia ndani ya mashuka/mablanketi.....kwa hiyo jamaa hajawahi kumwona mkewe hata ****. DUH!
 
videmu vingine ovyo kabisa. unaona sasa kamehatarisha maisha ya mumewe????????

kanajifunifununika mpaka kana boa, hivi hyo bwana amewahi hata ugusa nanihii ya kademu kake. manake kama picha ya live tu hapati hadi apige chapo,je kugusa? uvinza ndio kabisaaaaaaaaa asahau!

huyo mama akifanya ne shughuli hujifunikafunika adi mzee anamiss picha za live. mama apigwe shule ya majambozi aondoe aibu asijifiunukefunuke mkama anafanya na kaka yake!
greti thinka unaonekana una maPHD kibao. yaani matatizo yametokea toilet lakini wewe umeyagundua bedroom.
kinadada watakuja na hasira veri soon. hawa kinadada wa hapa hawapendagi konklusheni ya wao kubeba lawama bat yowa data iz veri truu.
 
waje tu, labda watatufunulia mengi na sie tuwape ukweli mwingi pia....
welcome ladies mkanushe huu utoto mwenzenu aliomfanyia mumewe hadi akahatarisha maisha yake!!!!!!!
 
sasa huyu si ndo alikuwa emsii siku ya maziko?!...
deh deh deh! ndo maana kuna jamaa wengine walikonfyuzi wakazania mc nguli ndo katutoka. kumbe jamaa bado yupo hai. post zake za leo ni ushahidi kabisa kwamba mc nguli hajafariki,kafariki mc lema!
nilijua jamaa wanamchukia mc nguli lakini skufkiria kama wanaweza kumpakazia kifo. dah! kuishi kwingi kuona mengi
 
OREDE KUNA MTAA UNAITWA ''kwa mc lema''
na kuna baa mita hiyo hiyo imeanza inaitwa ''LEMA-MILA PUB''
haya ni maendeleo makubwa kulikoni maendeleo yaliopatikana na ccm kwa zaidi ya miaka zaidi ya arobaini. vipi na eapoti mnahisi ibaki jina la mwalimu au tuibatize jina la mc?
 
haya ni maendeleo makubwa kulikoni maendeleo yaliopatikana na ccm kwa zaidi ya miaka zaidi ya arobaini. Vipi na eapoti mnahisi ibaki jina la mwalimu au tuibatize jina la mc?
halafu wewe mkeo keshajifungua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom