Hivi mapenzi yana uhusiano gani na MAVAZI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mapenzi yana uhusiano gani na MAVAZI?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Papa Mopao, Jan 8, 2010.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Kwa muda mrefu nimechunguza sana juu ya uhusiano wa MAVAZI na MAPENZI(LOVE).Nimegundua wapendanao wengi wa kiume na kike hupenda sana kuvaa mavazi yanaleta mvuto kwa namna moja au nyingine,na hili pia hutokea sana kwa wapendanao wachanga,utakuta mtu amempata girlfriend/boyfriend mpya basi kazi ya kwanza ni kwenye mavazi.Lakini kuna kitu kinachonipa maswali ya kujiuliza juu ya masuala ya Mavazi ndani ya Love ni kwamba ni kweli mvulana/mwanaumme na msichana/mwanamke akichuja kwenye mavazi mapenzi/upendo nayo pia huchuja? Hapa kuna aina mbili za Love

  TRUE LOVE na FALSE LOVE(penzi danganyadanganya,je ni ipi kati ya hizo inayoapply kwenye mavazi zaidi?

  Bila shaka wengi tutajifunza hapa kadiri ya uzoefu wa wachangiaji.

  Nakaribisha maoni.

  Thanks
  Papa Mopao
   
 2. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ..........Mavazi yana sehemu yake katika mapenzi,inategemea hapa mtu unapenda mpenzi wako avae mavazi gani ili muendane.
  Mavazi yanaweza kumfanya mpenzi wako uturn on au off kwenye penzi.
  Honey wako akiwa mtanashati na amevaa pamba za maana unajisikia vizuri hata kumtambulisha mbele za watu.
  Imagine mtu amevaa ovyo ovyo si utaona aibu kumtambulisha mbele za watu?
  Hivyo mavazi yana nafasi sana katika penzi, ukifanya mchezo unaweza kukimbiwa kisa hujui kuvaaa. Ndio maana watu mkiwa wapenzi ni vizuri kushauriana jinsi gani mvae ili couple yenu ionekane ina mvuto.
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mavazi yanamata sana kwani unavyovyaa ndivyo utakavyo shukuliwa ukiwasmart utapewa heshima ukivyaa hovyo the same watu watakuchulia hivyo kila mwanamke na kila mmwanaume anapenda mtu smart kimavazi kwani ukivaa vizuri uzuri unaongezeka
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  vipi ''HONEYMOON'' imekwisha?
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  WELL SAID PRETA AAAH PRETTY!!! heri ya mwaka mpya jamani!!!
   
 6. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  kweli kabisa Pretty,nakubaliana na wewe hata hilo nimeliona,lkn kwa upande mwingine hakuna udanganyifu wowote unaofanyika katika ndani ya mapenzi,je hilo lipo katika jamii?
   
 7. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 526
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapenzi hayana uhusiano wowote na mavazi zinaa ndio inauhusiano na mavazi. Ndio maana wanyama hawana nguo
   
Loading...