Taa izimwe isizimwe?

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Ukifika wakati wa chakula cha usiku, wapo baadhi ya watu lazima taa izimwe,je ni aibu? au kuogopa kupigwa chabo? amini usiamini wapo wapenzi( si wanandoa)
ambao hadi leo hawajuani mwenzie yupo vipi. japo kila siku wanavunja amri ya saba.Tena sio kuzima taa tu ila pamoja na kuzima taa bado mnajifunika shuka gubigubi, mwe? wewe mwana JF unasemaje taa izimwe? isizimwe?
 
utamu na raha ya chakula ukione wakati unakila,ukione kinafananaje..kula gizani ndo mwanzo wa kula visivyoliwa jamani
 
wewe mwana JF unasemaje taa izimwe? isizimwe?

Isizimwe!

Mara nyingi wanaopenda giza ni kwa sababu ya kutojiamini tu! Kitendo cha kuzima taa kinafanya sense moja isishiriki katika 'maakuli' na pia kama ni mtu usiyemfahamu unaweza kujikuta unakula visivyolika au kwenye mazingira machafu.
 
Isizimwe!

Mara nyingi wanaopenda giza ni kwa sababu ya kutojiamini tu! Kitendo cha kuzima taa kinafanya sense moja isishiriki katika 'maakuli' na pia kama ni mtu usiyemfahamu unaweza kujikuta unakula visivyolika au kwenye mazingira machafu.

dah ngoja nicheke tu.....
 
Utakulaje GIZANI? chakula kikiingia inzi nje? utamu wa chakula kiwe kwenye mwanga bwana six senses zote zishiriki kuthibitisha ladha ya mlo uliopo mbele yako. Maana hata ukinawa kabla ya kula hutaona km mikono ilikuwa misafi, sasa waweza kuchachusha msosi bureee. TAA ISIZIMWEEEEEE
 
...Kula gizani tena eh!?? unaweza kulishwa hata visivyoliwa...unadhani ni nyama kumbe....!
 
jamani mbona kuna taa maalum kwa ajili ya chumba cha chakula ?
Gizani mmh hapana
 
Jamani, mimi mwenzenu namuunga mkono FL1 maana ni kweli kuna taa maalumu za muda wa chakula, mambo ya gizani yanatoka wapi? Kama ni kijijini sawa, nako koroboi unaiweka mwanga mdogo, yaani unapunguza kiasi, lakini giza kabisa haliniingii akilini, kwani chakula mmeiba??
 
Hahahaha! Mshiki umeshakua kumbe! Safi sana!

ukiona mtu analazimisha izimwe kimbia ufe...kuna watu wagonjwa unakuta mashine imechanua kama cauliflower sasa huyo atakubali uwashe taa na anataka kula mzigo?
 
teh teh, binafsi napenda dim light nyeupe au ya pink! Au kama vipi nawashaga mshumaa! Sipendi gizani! Hakuna sababu ya kujifunika!
 
jamani mbona kuna taa maalum kwa ajili ya chumba cha chakula ?
Gizani mmh hapana

xactly.....sio kuwasha mitaa ka unashona kwa sindabo ya mkono vile khaaaaa!!! hata hayo mahanjamu yanakujaje hapo....
 
na taa kuwaka kaa jua la mchana HAPANA...maana nyumba za uswazi taa juu ya kitanda, ukitizama juu waweza umia.

iwashwe ile ya bedside, au ya juu lakini mwanga mdogo kidogo.....its more romantic anyway .....just sayin
 
Tena sio kuzima taa tu ila pamoja na kuzima taa bado mnajifunika shuka gubigubi, mwe?

Well said.., zaidi ya kuzima taa na kujifunika gubigubi, mlango unakuwa umetiwa kufuli, mapazia yote yameshushwa na wahusika wananong'ona kwa kasauti ka chiniiii wakati ni usiku na watu wote wamelala.,eti jamani nashindwa kuelewa wat's wrong with hii dinner, kwanini kufanya siri hivi wakati mimba ikiingia inakuwa ni kama tangazo kwa ulimwengu wote kuwa umeduu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom