Salute to all women | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salute to all women

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by M-bongotz, Mar 18, 2010.

 1. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  SORRY!!
  This thread has been deleted by m-bongotz.
  Any inconvenience caused is highly regretted.
   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  huo ndo moyo wa mwanamke!!! its just too big!!!
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,027
  Trophy Points: 280
  Hehehe! Mamushkaaaaa!
  Ngoja Charity aingie hapa a do ze niidiful!
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Papushka this was one of your best threads ujue......thank you again (nina vichane vingi tu vya asante hapa)
   
 5. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii kitu sio mpya hapa ndugu.

  Ilishaletwa na member siku ya wanwake duniani.
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,027
  Trophy Points: 280
  Nigongee senksi basi. Bado inalipa kumbe!
   
 7. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Asante Ama, mbona sijaiona kwenye list ya similar threads, anyway hata kama ipo kama imenigusa si naweza kui-revive?.ukinisaidia link nakugongea thanks digitally.
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  sidhani kasema kama ni mpya, hilo ameliweka wazi kuwa alipekua akakuta kuna mtu Alimwaga sifa kwa wanawake lakini bado inamgusa

  kwenye red FYI wala haikuwa siku a wanawake.......
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Yani kweli nina hubby kichwa kweli.Hii thread uliitunga wewe,juzi ikaibwa ikapelekwa michuzi blog leo tena inalletwa hapa.Kesho usishangae ipo uwazi.
  Ngoja niitafute kule ilipo niilete hapa.

  Yani sipendi kabisa wizi wa kazi za wasanii.
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!
  Chrispin [​IMG] 15th January 2010, 08:13 AM
  Kuna tukio nililiona jana:
  Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
  IMAGINE:

  ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

  UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

  UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

  UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!

  CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, mtarimbo umesimama, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza (Wengine wana mamitarimbo ya kufa mtu, sasa imagine hujamuandaa: LOL) Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

  UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

  UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

  Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!

  HIVI INGEKEWA WANAUME TUNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?

  Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

  I SALUTE AND LOVE THEM WOMEN!

  (NB: Leo niko kimaadili zaidi!)
  __________________
  Bwana, Ee Bwana kwanini wasimama mbali?
  Kwanini wajificha nyakati za shida?


  [​IMG]
  Chrispin
  JF Premium Member
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join Date: Sat Mar 2008
  Location: At Any Bar Counter
  Posts: 6,098
  Thanks: 1,439
  Thanked 2,019 Times in 1,415 Posts


  [​IMG] Report Post [​IMG] Subscription [​IMG] Show Printable Version [​IMG] Email this Page [​IMG] Add to Chrispin's Reputation


  Views: 3307
  [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]

  The Following 47 Users Say Thank You to Chrispin For This Useful Post: Remove Your Thanks Akili Kichwani (15th January 2010), BelindaJacob (15th January 2010), bht (15th January 2010), Bigirita (15th January 2010), Bonge (18th January 2010), Bujibuji (15th January 2010), carmel (15th January 2010), Charity (15th January 2010), De Novo (15th January 2010), Edo (18th January 2010), eRRy84 (15th January 2010), Fidel80 (15th January 2010), FirstLady1[​IMG] (15th January 2010), Geoff (15th January 2010), GP (15th January 2010), Iza (18th January 2010), JS (15th January 2010), Kaitaba (15th January 2010), Katavi (15th January 2010), klorokwini (15th January 2010), Kosmio (19th January 2010), Lady N (15th January 2010), Lekanjobe Kubinika (15th January 2010), Lily Flower (15th January 2010), Lumbe (15th January 2010), MADAI (15th January 2010), Mfamaji (15th January 2010), MjasiriamaliShupavu (15th January 2010), Msindima (18th January 2010), MwanajamiiOne (15th January 2010), Next Level (15th January 2010), Ngongo (15th January 2010), Nguli (15th January 2010), Nyamayao (15th January 2010), nyangoma (18th January 2010), PakaJimmy (16th January 2010), Preta (15th January 2010), Pretty (15th January 2010), Prodigal Son (15th January 2010), Shishi (15th January 2010), SMU (15th January 2010), Soulbrother (15th January 2010), Sugar wa Ukweli (17th January 2010), Sumbalawinyo (15th January 2010), Tshala (15th January 2010), Tumain (15th January 2010), WomanOfSubstance (16th January 2010)


  ChrispinView Public ProfileSend a private message to ChrispinSend email to ChrispinFind More Posts by ChrispinAdd Chrispin to Your ContactsGive Away PointsExperience
  Points: 399,225, Level: 100
  [​IMG][​IMG][​IMG]Level up: 0%, 0 Points needed
  [​IMG][​IMG][​IMG]Activity: 100%
  [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Ranking Shop
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ndivyo mwenyezi mungu alivyotuumba na mioyo laini kama sufi
   
 12. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nimekugongea thanx kule na ninakuongezea nyingine hapa kwa kiswahili ASANTE, kumbe kweli ilishawahi kuwepo hapa, hii nimequote toka michuzi, hongera kwa Xpin kama ni utunzi wake pia na sio wizi wa kazi za wasanii kama unavyofikiri, ndio maana ya Quotation FYI.
   
 13. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  .....and I SALUTE YOU for the job well done.
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wewe ni mwelewa sana. Mie nina tatizo na yule aliyeitoa huku JF na kuipeleka Michuzi blog halafu akaedit heading badala ya Heshima kwa wanawake akaweka salute to women.Kama alikuwa na nia ya kufanya quotation angesema alikoitoa,lakini alijifanya kama ndio yeye aliyeitunga.
  Peace and love!
  ubarikiwe
   
 15. T

  Tall JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  yALIO NDANI YA UWEZO WETU TUNAYAWEZA SANA.
   
 16. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  this show how selfish men are... yani this make me sick...
  sorry guys I dont have such heart na hizo sifa mie sizipendi kabisa... honestly why should any woman keep up with all that shit...

  and the baby name we both gonna choose.....
   
 17. Theodora

  Theodora JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  So great and touching, but sad that its for these same accolades that women are treated like door mats. Mmh....
   
 18. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mwanzisha thread kaenda zoa hii issue kwa Michuzi, akidhani analeta habari mpya hapa. Kumwambia kuwa hii sio mada mpya imekuuma sana, samahani kama nimekukwaza.

  Kumbe ilikuwa siku gani ile mrembo?
   
 19. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Theodora thats what I am talking about till when women will accept to be treated like shit and being victims? why Why why? with my due respect to the thread starter but thats not kind of shit we wanna hear... tell us how well u treat ur women so others can learn too.. God Bless you all ...
   
 20. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  AMA slow down,hatubishani hapa,besides CHARITY alishatoa msaada na tukafunga mjadala.,peace!!
   
Loading...