Kifungo Mwenzi Mmoja Kwa Kubusiana Hadharani

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Dubai Kissing Brits Face Wait On Jail Fate

15573433.jpg

Jumeirah Beach where the
alleged offence took place
Sky News

A British man and woman appealing a prison sentence in Dubai for kissing in public must wait until next month to find out if they will be jailed.

Ayman Najafi, 24, and Charlotte Adams, 25, were due to contest a one-month prison sentence, but a court has ruled their appeal will not be heard until April 4.

The pair were arrested in November last year after a diner complained they had kissed in a hotel restaurant, breaching Dubai's strict decency laws.

Mr Najafi, who works in Dubai, and Miss Adams, a tourist, appeared in Dubai's Misdemeanours Court last week.

15573661.jpg

Miss Adams hails from north London

The case is the third time in under two years in which Britons have hit the headlines by falling foul of decency laws in Dubai.

The judge reportedly heard written evidence from a 38-year-old Emirati mother who initially complained to police because her child had seen their alleged indiscretion.

Mr Najafi claimed he had merely kissed Miss Adams on the cheek and the two were just friends.

"There was no lip kissing. It was just a normal greeting that is not considered offensive," the pair's lawyer Khalaf al Hosani told the court.

But his argument was dismissed by the judge.

Both defendants were sentenced to a month in jail followed by deportation, but were bailed pending their appeal against the sentence.

The Dubai authorities are holding their passports so that they cannot leave the country.

Miss Adams's flatmate Jade Christa Williams said her friend had been "caught up in a huge misunderstanding".

"Charlotte is not at all disrespectful of Dubai's laws and fully understands their culture," she said.

"Charlotte is completely innocent and is looking forward to coming home soon to carry on with her life and put this behind her."

Mr Najafi moved to Dubai to work for marketing firm Hay Group in Dubai around 18 months ago.

Speaking from the family home in Palmers Green, north London, his mother said her son had vowed to clear his name and come home.

"My Ayman is a good boy, he's very wise and mature. I don't think it's true. He's not like that at all," Maida Najafi said.

"He's been there for one and a half years and he's never been in trouble. He knows the rules over there.

"He said, 'I haven't done anything wrong mum, hopefully I will clear my name and then I can come back'."

Commenting on the case, Adel Darwish of the Middle East magazine told Sky News that police in Dubai would usually tolerate such a misdemeanour.

"Perhaps if the woman had not complained, nothing would have happened. I think in recent weeks though, the police are wanting to be seen to be tough," he said.

Mr Darwish added that he thought further cases involving a harsh reaction to a "petty" crime could have the effect of driving much-needed tourists away.

"Dubai had a reputation of being tolerant - you can actually drink in restaurants," he said.

"They've got a lot to lose in this economic climate."
 
X-PASTER naona hii itaishia kwa kutozwa faini tu sidhani kaa kutakuwa na kifungo. Ukienda nchi hizi za watu inabidi uwe muangalifu sana na sheria zao au unajiweza kujikuta uko matatani kwa jambo ambalo ni rukhsa katika baadhi ya nchi.
 
Ni kweli usemayo ndungu yangu, ila hawa jamaa wakutoka europe wanajifanya hamnazo sana... Wanasahau kuwa ukitaka kuishi kwa amani nchi za watu fuata sheria zao na utasalimika. Kila kukicha uko Dubai kesi ni hizi hizi za kubusiana na kukutwa na magazeti ya porno.
 
Hengera Dubai, hiyo ndiyo vita ya kweli dhidi ."UKIMWI" Siyo kugawa kondom.
 
hawa jamaa wakutoka europe wanajifanya hamnazo sana... Wanasahau kuwa ukitaka kuishi kwa amani nchi za watu fuata sheria zao na utasalimika.
. X-Paster ulichokisema ni kweli ila kwanini basi ni waislamu nikiwa na maana ya waislamu wanaolazimisha watu wa nchi wazoomba uraia wafuate sheria za Kiislamu? Kwangu huwaona waislamu kuwa ni watu watata kwani hutaka watu wengine wafuate na kuheshimu tamaduni zao ilhali wao hudharau tamaduni za wenyeji wao na matokeo yake ni vurugu. Mfano mzuri ni Australia ambako hadi waziri mkuu aliwaeleza kuwa kama hawawezi kufuata misingi iliyoijenga nchi hiyo ambayo ni ya Kikiristo basi wafungazhe virago vyao na urudi kwao kwani hakuna aliyewaita. NI muhimu kwa Waislamu kuheshimu sheria na taratibu za watu wengine ili nao waheshimu za kwao.
 
Sidhani kaa atakujibu, maana huyu ni mzee wa kukopi na kupaste, kuprocess info ni shughuli pevu kwake.

Nways, hawa waarabu wanatabia ya kuondoa inzi kwenye kajikikombe ka kahawa, wakati wanameza ngamia mzima...! Waulize wenyewe wanawafanyaga nini domestic help na vijakazi wao hususan watoto wa kiume na wa kike wa kifilipina.

Last time na-transit Uarabuni narejea bongo, jirani yangu alikaa binti mmoja, njiani safari nzima alikuwa anahemea juujuu. Kutumia utu-uzima nikabaini kabinti kana mimba changa, ka-zygote kanatafuta nafasi tumboni. Inaonesha waaarabu koko akina Barubaru na X-Paster walishapita pale ndio hivo binti anarejeshwa mzobemzobe nyumbani bila chochote na mimba juu.

Hawa jamaa ni munafeeqq wakubwa.
 
Hivi hao Waaustralia walipo vamia hiyo nchi na kuwauwa wenyeji, mbona hatusikii wakifuata utamaduni wa wenyeji walio wakuta na wanalazimisha watu wafuate utamaduni wa kikilisto?

Hivi utamaduni wa kikilisto ni kutembea uchi...!?
 
Sidhani kaa atakujibu, maana huyu ni mzee wa kukopi na kupaste, kuprocess info ni shughuli pevu kwake.

Nways, hawa waarabu wanatabia ya kuondoa inzi kwenye kajikikombe ka kahawa, wakati wanameza ngamia mzima...! Waulize wenyewe wanawafanyaga nini domestic help na vijakazi wao hususan watoto wa kiume na wa kike wa kifilipina.

Last time na-transit Uarabuni narejea bongo, jirani yangu alikaa binti mmoja, njiani safari nzima alikuwa anahemea juujuu. Kutumia utu-uzima nikabaini kabinti kana mimba changa, ka-zygote kanatafuta nafasi tumboni. Inaonesha waaarabu koko akina Barubaru na X-Paster walishapita pale ndio hivo binti anarejeshwa mzobemzobe nyumbani bila chochote na mimba juu.

Hawa jamaa ni munafeeqq wakubwa.
Watoto wengine si riziki, basi tu!
 
. X-Paster ulichokisema ni kweli ila kwanini basi ni waislamu nikiwa na maana ya waislamu wanaolazimisha watu wa nchi wazoomba uraia wafuate sheria za Kiislamu? Kwangu huwaona waislamu kuwa ni watu watata kwani hutaka watu wengine wafuate na kuheshimu tamaduni zao ilhali wao hudharau tamaduni za wenyeji wao na matokeo yake ni vurugu. Mfano mzuri ni Australia ambako hadi waziri mkuu aliwaeleza kuwa kama hawawezi kufuata misingi iliyoijenga nchi hiyo ambayo ni ya Kikiristo basi wafungazhe virago vyao na urudi kwao kwani hakuna aliyewaita. NI muhimu kwa Waislamu kuheshimu sheria na taratibu za watu wengine ili nao waheshimu za kwao.

ain't u contradicting urself there? if australia wanalazimisha watu wafate mising ya kikiristo why is it a big deal if an islamic country do the same...
 
In DXB u find notice that Kissing in public is not allowed and u find this notice every where... but u still find ppl like this couple violate the law.... in return I can see how ppl hates arabs and muslims...
 
Ulikuepo wakati wanabusiana...?
 
Back
Top Bottom