Eti womanfriend inaruhusiwa?

Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
64
rejea kisa cha mama (56) kufunga ndoa na kijana(25) huko kenya.

jana kuna mtu mmoja aliita rafiki kwa kiingereza, yaan alisema friend, nikafurahi. lakini nikashindwa kujua kama ni girlfriend au ni woaman friend, kwani mtu yule ni mwanamke well advanced in age (50+) na mimi (30+) . sasa huyu naye ni girlfriend au womanfriend?

mi kiingereza siju vizuri, sasa naomba tusaidiane hapo manake siku zote nasikia girlfriend tu, sijasikia womanfried?

halafu, hivi ukisikia mtu mmoja namuita mwingine girlfried au boyfirend lazima kuwe na kliks (ngono) au sio lazima, tusaidiane jamani, wengine haya mambo yanatuchanganya sana
 
Mh kibongo bongo mtu akikuambia eti just a friend ni asilimia kumi inakuwa kweli maana watu wanavyopenda ku double click
 
mkuu, swaali kama hili unatakiwa kuliuliza katikati ya wiki............. weekend hii watu wanakula bata, sijui kama litadadavuliwa sawasawa...................... jitahidi ulichomekee jumatatu...............
 
Usilete mambo ambayo hayapo katika masamiati mkuu. Kama neno hilo halijakuridhisha tafuta neno lingine muafaka la kiingereza
 
unaweza kuwa na friend mwanamke... just friends...lakini inategemea na tabia ya mtu... mie kwa mfano naweza kufanya urafiki na mwanaume (just friends) lakini i make it clear from the very begining that there is a red line shouldnt be cross...
 
Back
Top Bottom