Hawa jamaa Mapenzi yao kwa msichana sio Nyama choma na Nyimbo za Ali Kibaki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa jamaa Mapenzi yao kwa msichana sio Nyama choma na Nyimbo za Ali Kibaki.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Babylon, Mar 18, 2010.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  kwa hali kama Hii Ughaibuni unategemea dada wa kibongo apoteze Muda wake na wewe.
  A Kenyan Care worker helped her husband launder £6m from mortgage scam in UK
  [​IMG]
  Her original names are Miss Ruth Wambui Mungai married to a Nigerian Mr. Victor Ayinde-Azeez - they married a year ago at Pinner in Baptist Church in Pinner, North West London Neapolitan Line on 11th August, 2008 ​
  London, Thursday 11th March, 2010. A care home assistant who led a life of luxury by helping her crooked husband launder the profits of a £6 million mortgage con was facing jail. Ruth Ayinde-Azeez, 26, lived in a six-bedroom house with 12 plasma televisions and drove a Bentley and Land Rover. She took holidays in Dubai and the south of France, kept £1.6 million in her bank accounts and blew huge sums at expensive bars and restaurants. But her life was funded by crime, Southwark crown court heard. Her husband Victor led a mortgage fraud gang which plundered nearly £6 million from high street banks in six weeks. He "bought" 22 houses around the South-East and, with his accomplices, applied for mortgages from high street lenders including Bradford and Bingley and Abbey National. The paperwork was signed off by crooked solicitors. When Ayinde-Azeez was arrested, she was about to leave the country after her husband texted her a warning that the police were on their way. He is believed to be abroad. The Kenyan national was told by Judge Martin Beddoe: "It seems to me that I'm going to have to pass on you a significant sentence, without credit for a guilty plea." The lady is still in custody charged guilty of Money Laundering
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 18, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Halafu kuna wajinga wajinga humu watakuja kutetea na kushabikia waliyoyafanya hawa na kuwaona wana akili. Stupid.
   
 3. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #3
  Mar 18, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Nyani Ngabu acha matusi basi Mkuu.Kila mtu anamtazamo wake hatuwezi kufanana hata iweje.Tukifanana hakuna sababu za kuwa na mijadala,wacha tutofautiane kimtazamo ili mijadala inoge.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Mar 18, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Tusi liko wapi hapo? Neno "wajinga wajinga" ni tusi kama "k.umamako"?
   
 5. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2010
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Romance with a Nigerian man normally has its price. A very high one at that. They have proven it time and time again. All that glamour is very misleading. One must always see beyond the Bentley and the Range Rover...They snare you, reel you in by giving you the good life then they introduce to the the murky side of making all that 'good life'. At that point one is hooked to that life and is like an addict, and will do anything to sustain the life style.
  I can say she will be cooling her heels in gaol for a while. Mean while the nigerian mastermind is at large. That is the MO. I can say with conviction that this is not going to a be a lesson learnt, some unsuspecting naive girl/woman is going to fall for it again.
  Very slick..."When the deal is too good think twice"
   
 6. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2010
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Vipi wamesha kutenda nini?inasemekana wanaume wengi wamepokonywa wake ,na wengine marafiki zao wa kike waliotokanao Tz au kukutana nao nje ya Nchi ,kuna Msichana wa kikenya anasema Wanigeria wanawatageti sana wasichana hasa kutoka Tz ,wanawasifu kwa ukarimu wao wakifatia Kenya na Uganda kweli jamaa wanatowa dau la nguvu wabongo misamiyati ni mingi wanapokutana na wasichana.
   
 7. k

  katoto Member

  #7
  Mar 19, 2010
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  A care home assistant ana 12 plasma TV ...!!! Si alisaidia kujikaanga kwenye mafuta yake.

  WaNigeria wanawapenda wasichana wa-East Africa na wakenya wanapenda wasichana waTZ. Sijui waganda wanapenda wasichana wa gani...
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  si kama el, mzee wa vijisenti, ra na wao ni wezi tu km hawa, so mkuu these days ukipata nafasi chukua chako mapema, maana hata kama hutaki wenzio wanaitafuna tu nji hii
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hapa pekee nampa sifa ROVER inahusika !
   
 10. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Don't blame the Nigerians. The woman is a Kikuyu. Kikuyus are not very much different from Nigerians when it comes to money making.
   
 11. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2010
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Or you mean they are not different when it comes to greed!!! they are well matched. These 'get rich quickly' schemes are never good.
  Just like the devil a Nigerian has no free gifts.

   
 12. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2010
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Waganda wanapenda tu Waganda wenzao...
   
 13. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wazungu walituibia sana utajiri wetu huko nyuma kwa kutumia mbinu mbalimbali. Na sisi kama tukipata mwanya wa kuwatenda mbaya mimi naona sawa tu, maana kumbukeni mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha..

  Ukweli ni kwamba ukiiba successfully wewe ni mwerevu, ila ukiiba ukakamatwa wewe ni mjinga wa mwisho.
   
 15. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Huu ni ujinga wa kujionesha na ku'draw" attention kutoka kwa wahusika. Nyumba ya vyumba viwili ni mashaka kwa mshahara wa huyu binti, iweje ya vyumba sita? Halafu anaendesha Bentley na bank account inaonyesha fedha hizo! Jamaa wapo kazini na huwa wanafuatilia vitu kama hivyo na fedha ambayo haielezeki umeipata wapi.

  Siyo kama kwetu kama una fedha ambazo hazieleweki vyanzo vyake basi utasikia mtaani wanasema 'huyo ni mfanya biashara'

  Ukiuliza biashara gani haieleweki.
   
 16. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2010
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mukuu nadhani pia wote hao hawana tofauti na CHENGE..Au unasema je . Au tuwaombe uhamiaji watupe Uraia wa huyu muheshimiwa ?
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Mar 20, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  -Siku zote Nigerians hawana matumizi mazuri na pesa zao.Pamoja n wizi wooote hawafanyi jambo la maana,yaani yupo Radhi kulaa njaa lakini avae Gold na aweze kukodisha au kununua gari

  Madem wa Kenya nao inategemea ametokea wapi,family backgrounds ec. Mbona kuna wakikuyu wazuri tu na si wasanii wa hela

  Kuna wajaluo,wakamba na hata waluhya noma kwa kuchimba dhahabukuliko wakikuyu
   
 18. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #18
  Mar 20, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  -pia 9ija's kwao ndoa si ishu,anaweza oa tu kufanikisha utapeli na kulala mbele
   
 19. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #19
  Mar 20, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mmh,nimekuogopa.
   
Loading...