Jamani wanajamvi woote, messege yenu hiyo toka kwa Pearl

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,508
216
"jamani hata sijui niwaambieaje nawapenda sana tena sana kwakweli na nitawamiss sana. nitakosekana jamvini kwa muda usiojulikana kutokana na matatizo ya IT hapa ofisini kwetu. naomba mtuombee turejee hewani as soon as possible tuendeleze jamvi letu"

hiyo ndiyo kauli ya mwenzetu, ......... mwenye ujumbe wowote kwake aupitishe kwangu utamfikia immediatelly...... na nitahakikisha anaona post zenu zote na any feedback nitaziwasilisha on time........ thanks bros and sists....................
 
Duh mapenzi kizunguzungu hajafichiki popote
Jana kasema ataweka Contact jamvini ..tukong'oli direct
Mwambie tutammiss sana kwa hichi kipindi cha mpito
Asante shemeji
 
Hahaha! Kijana wewe bana:D:D! Naona unaweka ulinzi kiaina.
Nway, Thank God its friday.
Msalimie sana mwambie nammisi kinoma.
Ngoja nimwendee hewani. Will be back shortly.
 
Pearl anasema:

jamani FL 1mbn nakuham mwenzio?yani hata sijui nikwambie nn mpz hivi unakumbuka ule wimbo wa "kwaherini jama naondoka,tuko mbali baharini,mawimbi tanatupeperusha"?
 
Hahaha! Kijana wewe bana:D:D! Naona unaweka ulinzi kiaina.
Nway, Thank God its friday.
Msalimie sana mwambie nammisi kinoma.
Ngoja nimwendee hewani. Will be back shortly.

pearl says:

Xpin:najua umechangia mkono,usijali ww nipigieeeeeee,maana nakumbuka waybak tulicheza sana mchezo wa baba na mama mm na ww,I real miss zoz daiz n miss u too my swty potato n sugar banana
 
Pole sana Pearl! Yaani unaaford kuikosa JF kweli? Kwani huna handset yenye uwezo wa kubrowse uwe unakuja kuchungulia kiaina hapa jamvini
 
Ingependeza kama angetuambia aina ya matatizo yanayo mkabili kuna wataalamu hapa wanaweza kushauri na tatizo likapata ufumbuzi, binafsi nitakimiss sana kidole mdomoni kwenye avatar ya mwanzo. Anyway tunakuombea uyashinde matatizo hayo ya IT na urejee ASAP.
 
pearl sys:

eeeh jamani jeyfour_king,will miss u big time yani kwakweli nateseka without u pple nea me,yani hata sikjui nianzie wapi,the thing is wameblok dia hata sijui itakuwaje?
 
Dah kumbe kuna umuhimu wa kuwa na mwakilishi eeeh

tabu ya kuolewa na lijendi hata nikikosekana sidhani naweza kumtuma aje awape salam

Pearl twiniushka am moved with wat AK -47 has done for you!!

Mis u big here!!
 
pearl sayz:

hey Twinushka"u dnt no how much I will real miss u darling,ur my every dei life swty,yani with JF am a prisoner forever,nakumiss na nakupenda sana mpz,shemeji yako anawakilisha tu usijali ananitumia mails hapa n nina directly repl just put ur trust ans always count on him hata kama ukikosa chapaaa!
 
hw soon can I wakilisha maombi yangu hapo kwenye red??
 
Ingependeza kama angetuambia aina ya matatizo yanayo mkabili kuna wataalamu hapa wanaweza kushauri na tatizo likapata ufumbuzi, binafsi nitakimiss sana kidole mdomoni kwenye avatar ya mwanzo. Anyway tunakuombea uyashinde matatizo hayo ya IT na urejee ASAP.

Haki ya nani, nami nitamiss kale ka kidole!!!
Mhh!1 Tutamuombea arudi jamani. mwe!!!
 
hw soon can I wakilisha maombi yangu hapo kwenye red??

pearl sayz

eeehTwinushka for u hapo kwanza u have alot of roles to play,si unajua kama mm sipo ww unawakilisha?n about chapaa hata leo maana anajua tuko wawili huyu
 
Back
Top Bottom