Kwa Nini Wadada na Mama Mnatutega sana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Nini Wadada na Mama Mnatutega sana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Mar 18, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa nini jamani mnapenda sana kutupa majaribu? Siku hizi mmezidi sana mpaka mavazi ya kuvaa nyumbani/kitandani ndio mnaenda nayo matembezini, maofisini n.k. Kwani bila kuvaa suruali za kubana, pedo pusha, vitop, vimini, n.k hampendezi? Wanawake wa mjini hamwachi kuacha matiti nje nje...kwa nini jamani? mnataka kutuua? Wengine wanashusha suruali zao ili mikanda ya chupi ionekane, wanaovaa underskate makusudi mnaacha michirizi ya kwenya mapaja inaonekana. Mbona sisi tukienda maofisini hatuvai bukta, vest au carwash kuonyesha muscles au nyeti zetu! Kwa nini jamani? Si vizuri jamani kuhatarisha maisha ya wenzio!!
   
 2. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hongera Bwabwa!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mhhh na wewe wanawake wanakutega?????
  kuanzia lini????
  mbona vituko humu haviishi???????
   
 4. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani umeambiwa uwatizame? kwa kutamani tu hiyo ni dhambi
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hii ndo dunia ya kizazi cha nyoka mkubwa, yaani dunia iliyovamiwa na shetani ambaye ndiye nyoka. wa wale walioko hapa ulaya, hakika kipindi cha joti, unaona mapaja hadi unachoka, sasa tukirudi huko bongo tukiona mapaya hata hatushangai, imeshakuwa kawaida. ukitembea barabarani, au hata kwenye public transport, watu wanapigana busu za kufa mtu kwenye kituo cha basi, kwenye basi, ni uchafu wa kufa mtu. dunia imeisha.
   
 6. p

  pori Member

  #6
  Mar 18, 2010
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana kwa topic hii nyeti. kwa kweli uvaaji wa wadada/wamama wengine ni tofauti na maadili ya kitanzania. nadhani ya ughaibuni tuwaachie wenyewe. kuna kiwango chenye mpaka ktk uvaaji lakini wenzetu mnapitiliza mpaka. wengi wa wadada/wamama hawa ukiangalia kwa undani zaidi ni kuchokoza wanaume ambao wengine wanajiheshimu lakini inafikia wakati wakavunja maadili jinsi wadada wanavyojitahidi kujipitisha pitisha mbele zao. ni wale ambao pia huonekana wako bize mahali pasipo na shughuli yoyote ili mradi waonekana. angalia wanavyoji-market misibani pia! ni aibu inayopaswa kulaaniwa!
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wanaharibiwa na tamthilia za kwenye luninga humo, na kuiga mavazi ya ulaya. mapepo yamejaa mioyoni mwao, na hawajijui.
   
 8. K

  Kilambi Member

  #8
  Mar 18, 2010
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  niliwahi kununua sumu ya kuulia panya nikawawekea kisha iliyobaki kwenye kifuko nikaihifadhi juu ya kabati, asubuhi naamka hakuna panya aliyekufa mbaya zaidi walikula hadi kile kimfuko.....so mkuu nawe wakikutega kula hadi huo mtego!!!
   
 9. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #9
  Mar 18, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wewe mwenyewe ndio tatizo..Mbona akivaa nduguyo wa karibu hakutegi?
   
 10. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  unajuaje???????????//////.. FYI wengine wanatega...............hahaha..............
   
 11. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #11
  Mar 18, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Duu AK unatisha kama unategwa na hata na nduguzo.Mmh nakuogopa.
   
 12. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  tatizo liko kwa wote best; anayetega na anayetegwa...............

  .........binafsi naweza kuhimili mitego ya kila dizaini lakini nawahurumia wanaume wenzangu......... mitego mingine ni mitihani kwelikweli..................
   
 13. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Sollution ya kuondoa tatizo hilo ni kuwaajiri dungadunga wawadunge hadi washike adabu yao. Kwa ujumla wanawake hawana akili wala aibu, kukaa extra naked ndi ubunifu na mitindo ilhali inaingilia privacy ya wanaume. Nadhani kunahaja ya kuwa na chama cha wanaume kitachopingania kuruhusiwa kuwabaka wote wanaovaa hivyo. GS nani kakuambia DADAKO havutii na hatamanishini?
   
 14. D

  Dango4Dango Member

  #14
  Mar 19, 2010
  Joined: Sep 13, 2008
  Messages: 8
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  thats why sometimes aint buying the women right thing......what? right to be naked and kill us with aids! women are so stupid(not all of course)......all what they are thinking is to attract men......some even with husbands at home!!.....seriously,cant you make that priority D or E,why make that a first priority!! mnakera......halafu kila siku mnatusumbua tuwape haki haki, haki yenyewe kumbeya kumruhusu dadako atoke nyumbani ****** wazi.....mitabia hii ndo inawafanya baadhi ya watu wasifurahie watoto wa kike..... respect yourselves women!  We love u no matter what, stop killing us!
   
 15. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  haya jamani kina dada vaeni vizuri kwa ajili muheshimiwe na mjistiri.. wanawake wengine wanadhani ni urembo kuonyesha ngozi zao...
   
 16. shejele

  shejele Senior Member

  #16
  Mar 20, 2010
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nadhani hapo utakuwa umepitiliza kidogo...vipi tena hayo maneno?
   
 17. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza nusu uchi
   
 18. H

  Haruna JM Sauko Member

  #18
  Mar 20, 2010
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 24
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Taratiiiiiiibu mambo na vitendo vya watu wa ulaya vyaingia na twavikumbatia kuwa, kwa msemo mwingine maarufu maendeleo
   
 19. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #19
  Mar 20, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mi naona tusiwalaumu hao wadada wanaovaa hivyo peke yao, tuangalie sababu inayowafanya wavae hivyo. wote tunajua kuwa advert kwenye biashara ni muhimu sana wkenye mauzo. sasa kama wimbi la uvaaji ovyo linaongezeka maana yake ni kwamba walioanza kuvaa ovyo wameprove biashara inaenda vizuri wakivaa ovyo, ndo maana wengi zaidi wanaendelea kuvaa ovyo. trust me, nyie wakaka (wanaowavalia ovyo) mkiacha manunuzi kwa wanaovyaa ovyo na kuelekeza biashara kwa wanaovaa vizuri kila mdada atataka kuvaa vizuri ili awe kwenye market.
   
 20. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mimi nadhani yafuatayo:

  1. Kuwa huenda mada hii umeileta kwa maslahi binafsi, kuwa wewe unakosa namna ya kujinadi barabarani, ofisini, nk...na hivyo wanakuchukulia wateja.

  2. Leo basi umepatia, lakini ukijaribu kurudi kwa mababu zetu, mwanamme mmoja aliruhusiwa kuwaoa wanawake kadhaa, kitu ambacho ni tofauti kabisa na sasa, ampapo soko hilo limekuwa dogo na kwa maana hiyo kuna kila sababu ya kujinadi ili upate mteja, vinginevyo utaishia patupu. Hivyo upungufu (audimu) wa wanaume wenyewe unawafanya hawa wadada kujaribu kupigania hao wachache waliopo.
   
Loading...