Nani nimwite shemeji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani nimwite shemeji

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaka Sam, Mar 19, 2010.

 1. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi wenzangu,

  Nina rafiki yangu wa siku nyingi toka enzi za chuo na kwa sasa amefanya uamuzi wa kupata jiko na siku aliyoniambia hilo swala na kuamua kunitambulisha kwa mywife wake mtarajiwa nikakuta ni yule best angu ambaye mimi namuita dada kutokana na ukaribu tulio nao.
  Sasa je, hapa ni nani nimwite shemeji?:confused:
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mbona tayari ushawapa 'title' zao stahili? endelea tu kuwaita hivyo, kwani rafiki anaeleka zaidi kuwa Shemejio.
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ha ha ha mpwa kwa sababu huyo rafiki yako ulikua humuiti kaka na huyo mkewe ulikua unamwita dada basi rafikio ni shemejio!! usisahau ka batan ketu kwa hii yusifuli post!!
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kuna kiarifu kimejificha hapa!
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  nimeshtukia.......
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  Hapana....kiarifu kipo ....kasema rafiki na dada.............hapo naona amesahau kiima na amejaza vihisishi..............
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Rafiki + Dada we call shemeji ..
  Siku ukijisikia kumuita dada shemeji hakuna mbaya
  Siku ukijisikia kumwita rafiki Shemeji ..hakuna mbaya pia.
   
 8. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sasa hao wote ni wanawake au?
   
 9. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  No no hakuna kilichojificha.
  senks kwa ushauri wenu wanajamvi, nazani msela wangu nimwite shem na my wife wake abaki kuwa dada. duh hii kali.
   
 10. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Fafanua kwanza huyo rafiki aka dada mlishawahi ''kuvunja undugu'' japo mara moja?
   
 11. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Au kiambishi jina ndicho kinachokosekana hapo? [​IMG]
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Great Thinker ndo nawapendaga bana!
  yani walivyokutana wakachuniana kama hawajuani au?
  kwa hiyo jamaa hajui kama demu wake alishawahi kumjua ze mshkaji?
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  The dots cant be connected.......best yako wa siku nyingi, ana demu wewe humjui,
  Mpaka anaamua kufanya maamuzi ya kumuoa, ndo anakuja kukuonyesha..........kwani wewe ni baba yake?

  Na kwa nini usimjue?
   
 14. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Yalee Yaleeee!!! mambo ya .com
   
 15. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  aknani tena siku yangu immekaavizuri leo.............maana .........
   
 16. J

  Jafar JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wote hao kwako ni shemeji zako, hapo hakuna kaka yako wala dada yako tusidanganyane.
  Halafu haka katabia kakumuita mtu dada tu kwa sababu huna mawazo ya nanihii sio kazuri, dada ni yule wa kuzaliwa naye "fulusitopu".
   
 17. P

  Pajero New Member

  #17
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawashukuluni sana na wageyi salam salam kwawana chama.
  mimi nasikia sana wasela wengi kuishiwa kwenye mataa bila kosa lolote.

  Vijana tujichunge tusije tukwa kama mke wa lutu. wasichana wengi wanavamia eti wapate haki yao. Na we msela wa bongo kama unapenda kuwa na rafiki au kuwa na girlfriend, angalia kwamanini usije ukafuata mkombo, wabinti wengi wanapenda wafulana ambao wanakipaji chakuwatosha kama walivyo, mimi apo wahali niliwai kuwa na girlfried, kweli mi nilimpenda kama alivyo, lakini yeye aliniovyesha upenda wamwili, na moyo wake ulikua unapenda vitu vyakung'ara. nami msela nikiua sina haka hera yakumuvalisha vizuri, tuliendelea.kupendana mieze kadhaa. siku moja tu kuaingia Dar. na kaona mwanamne ambae alikua ni taita, na mtima wake ukanasa kuhoyo mwanadume. na akapenda wawe marafiki wakaribu tu wamda mfipi tu. na akamuomba namba yake yasim. bila kuchelewa binti akamugawia tunda. na akanitema kitambo. aliona mimi sina pesa kama huyo mwanamme.  minapenda mnigeyi ushauri kotaka kwako msomaji. na kama unamaindi kunitumia ujumbe/ message, email wangu ndoi, pajero75@live.com na ninaisha USA, napenda minipe mawazo yakufajiri mtima wangu. asanteni mngu wabariki
   
 18. P

  Pajero New Member

  #18
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  semji nijambo tata kiliko yoyote
   
 19. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  dah mkuu kuishi USA ndo kiswahili kimepotea kabsaa?
   
 20. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mmh! Kweli JF ni zaidi ya niijuavyo, kumejaa watu wa kila aina. Thanks to all, mawazo yenu ni mazuri pia.
   
Loading...