Nitampata wapi huyu mrembo hapa JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitampata wapi huyu mrembo hapa JF

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NGULI, Mar 19, 2010.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mwenye mvuto kama FL,
  Mpole na mwenye ngozi nyororo kama Lily Flower,
  Swagger unyenyekevu na upole kama za JS,
  Ateme nondo za ukweli kama WOS,
  Mcha Mungu kama Charity,
  Mwenye umbile la kibantu kama CheusiMangara.
  Mchesi na mwenye kujituma jamvini kama BHT,
  Mwenye msimamo usioyumba kama Preta,
  Mfia nchi kama Gender Sensitive,
  Asijichanganye na jinsia yake kama itei tei lya kite.
  Mwenye kujali watoto asiwaache Arusha kama Nyamayao.
  Mwenye kuota umilionea kama Binti Maringo.
  Awe mshereheshaji wa kicheni Pati ya JF kama Maria Roza
  Awe anajua kuimba(Vocalist) kama MAHAI.

  Nitampata wapi huyu bibiye.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  opoa wote tu hao..
  mwisho ndo utajua yupi anaekufaa......
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Du , kweli unawajua.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye bold niko kimaslahi zaidi.

  Ongeza na hii kiongozi ili upate kitu murua 100%.
  Awe mshauri nasaha kama Mwanajamiione
  Awe anadeka kama Pearl
  Asiwe anatema kiblurey kama Noname.
  Ajue kujiandaa kama Shishi.
  Awe na sifa ya kujifungua bila woga kama mama 5Js
  Awe anakumisi kama babylove................
   
 5. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Weekend imeanza vizuri...
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  kwa safari, netball, kuimba au......
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Kuolewa! Unaanza kukaba penalti sasa.
   
 8. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kweli Bw. Kimey, hata me naona weekend imeanza, zinaanza kudondoshwa laini laini kudissolve sumu za week nzima kwenye mind. Teh teh
   
 9. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  i see nguli huyu mrembo unayemtaka yuko mahala lkn unahitaji msaada wa roho wa mungu ili uweze kumpata.!
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hucheleweshi! Upo makini kweli.
  aiyaiya kuolewaa! ntarudi nyumbani kutembeaaa!
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Ongeza juhudi, bahati inaweza kuwa yako.
  Huyu kijana yuko desperate. Ameshaniomba niwe bestimani kwenye harusi yake.
   
 12. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Shemeji una maanisha nini?n Mdogo wangu ana habari hii?
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Nipigieee! Mpenzi wangu nipigieeeee!
  Nikupe namba za nguliiiiii!
   
 14. JS

  JS JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nguli unajua pa kunipata darling au sio??? kwenye PM........
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Nimeshakuelewa. Ngoja nimsaidie nguli;
  Awe mnoko kama Carmel.:D:D:D
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Unaanza kujipigia chapuo?

  Uko tayari kuwa mke wa pili wewe?
   
 17. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Zidisha MAOMBI Baba... Utampata tu:
   
 18. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  i love broda Nguli lkn vigezo vyake daaah sina vyote mtu wangu.
  lkn afate ushauri wangu niliompa.afunge,asali,amlilie mungu maombi maombi maombi tu.
  vipi wee chrispin huwezi kunitwaa kama nilivyo na vigezo vyangu hafifu?
   
 19. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ukinipa namba za Nguli na wewe unataka umpigie nani?
  Lol!
   
 20. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sana mtu wangu siku ya leo hakuna kujipa presha ni vitu laini laini mpaka tyme ya kukaa counter ifike!!
   
Loading...