Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Niko mbali, ila huwa nafurahi sana nikiona haya ma njonjo kwenye sherehe za ndoa za kibongo (nyumbani) hasa utamandui: http://www.youtube.com/watch?v=pWGbRyGwbxI&feature=related...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
John Edwards has proposed to his mistress whom he also has a baby with. Kumbe nyumba ndogo inaweza geuka kuwa nyumba kubwa? Haya tunayosema kila siku, jamani kaka zetu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, asalaam aleykum Wikendi nilikwenda kwenye shughuli moja safi sana.... sasa katika shughuli kuna jamaa wageni wa sherehe walisimama kujitambulisha... they looked very beautiful together na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hey wanajamii. Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28. Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania. mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu. ninaishi sinza...
0 Reactions
100 Replies
15K Views
Habari zenu wana jamii! Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!
1 Reactions
144 Replies
12K Views
Inakuwaje lakini? Ukiwa nyumbani hata kama unamai waifu wako lazima usarandie housegirl, ukienda kupata kilaji lazima ujivinjari na barmaid, ukiwa ofisini huishi kumtongoza secretary, mhudumu na...
0 Reactions
154 Replies
14K Views
Jana nilikuwa naangalia movie moja inaitwa A diary of a tired black man, niliipenda na ikanifikirisha sana. inaelezea jinsi african-american women wanavyoharibu relationship zao kwa ajili tu ya...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Waungwana Nimesoma sana post za hili jukwaa la mapenzi kiasi kwamba napata kwamba ni rahisi sana kwa wanajamvi kufikia hisia za mapenzi!!! Yaani jana wakati napitia thread humu, i definitely...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Naomba maana halisi ya neno hili na jinsi linavyotumika,Kwa mfano asubuhi hii nimesikia kutoka Redio moja kuwa mtu mmoja huko Rombo Mkooani Kilimanjaro amejiua na kumua mkewe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello wana jamii, sio masihara jamani hapa najua wote ni watu wazima na wenye akili timamu. Wasifu wangu. Jinsia-Kike Umri-29 Elimu-ya chuo naamanisha graduate Rangi-kahawa umbo-No 8 mnene...
0 Reactions
123 Replies
13K Views
Wakuu... siku za karibuni nimeona rafiki zangu wawili wakivunja ndoa zao baada ya kutoswa na wake zao, hao wadada ni wa shoka, elimu A, na kazi walizopata ni za kimataifa Cha kushangaza mmoja...
0 Reactions
100 Replies
14K Views
Wapwazz na Binamuz salam ziwafikie Tumebaki na takribani siku 5 kijana Geoff akafunge pingu za maisha (si pingu za Jerry Muro lakini msinisome vibaya). Plan imekaaje??? mi sielewi tena Geoff...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
  • Closed
Ni ukweli usiopingika kwamba miaka ya hivi karibuni (Miaka 40 iliyopita) Waafrika tulikuwa na desturi ya kukuagua bikira kwa mabinti ama wasichana waliokuwa wakiolewa.Siku ya harusi ilikuwa ni...
1 Reactions
60 Replies
20K Views
By Belinda luscombeThursday, Feb. 04, 2010 Dennis Hopper is not world famous because of his stability and family values. He made Easy Rider; it would be a letdown if he were Mr. Domesticated...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni binti mzuri sana kwa kumtazama. mweusi wa kuvutia, umbo jembamba lililogawanyika, si mrefu si mfupi. uzuri wake ungekolea pale ambapo angepata hali bora zaidi ya kimaisha. nasikitika kusema...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
habari zenu wakuu, kuna rafiki wangu mmoja ndio amenielezea kisa chake na anaomba ushauri. Yeye anampenda sana binti mmoja,wako pamoja kwa karibu mwaka sasa,lakini shida kubwa ni huyo mwanamke...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanawake ni wajanja, werevu, watundu na wana mbinu nyingi zaidi ya wanaume.
0 Reactions
87 Replies
9K Views
YES!....i hate it,i hate it so much 70%-of men involved in SERIOUS RELATIONSHIPS ARE NOT SERIOUS!.....ndio,lazima tuelezane ukweli unapokuwa very unserious: -YOU HURT YOUR PARTNER...
0 Reactions
190 Replies
14K Views
John Terry Anyang'anywa Unahodha Baada ya Kumtia Mimba Shemeji Yake John TerryFriday, February 05, 2010 9:50 PM Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Uingereza, Fabio Capello amemnyang'anya unahodha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…