Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

To realize The value of a sister/brother Ask someone Who doesn't have one. To realize The value of ten years: Ask a newly Divorced couple. To realize The value of four years: Ask a graduate...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wapendwa, leo nimeingia mji wa Mwanza na kwa furaha kubwa saaana tu kuna yeyote aliye mwanza tutafutane jamani?? kituko ni kwamba nimekutana na sewerage inajengwa ukitoka tu airport, furaha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwanini watu walioelimika wasionyeshe mfano mwema katika tabia wao ndio wamekuwa mstari wa mbele katika kuonyesha ni jinsi gani jamii inaweza kuishi katika uzinzi ulevi na kila aina ya machukizo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Really funny!!! Hii ni true story kabisaa, kuna dada mmoja kamegwa na mume akagundua, sasa jamaa akamconfront mwizi wake na kumuomba aache... mwizi akaacha, basi imekua tabu nyumbani! mwanamke...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana. Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Wewe ungeamua nini…??? Kuna jamaa kaoa lakini pamoja na hayo ana kimada nje ya ndoa yake. Mkewe alishatonywa lakini aliamua aanze na uchunguzi. Sasa kuna siku baba aliamua ku-surprise kimada...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukiuliza Biblia jibu ni "ndiyo"! Sasa nimejiuliza.. kwanini hayo maandiko hayasemi Mke mzuri Mke mrembo Mke mwenye figure ya namba 8 Mke msomi Mke mwenye sura ya umodo Mke mkamilifu Mke mtulivu...
0 Reactions
43 Replies
17K Views
Huwa nashangazwa na tabia ya huyu mchumba wangu. kila ninapokuwa mbali naye kwa shughuli za kikazi au za kifamilia ( kutembelea ndugu mkoani kwetu) kwa muda zaidi ya siku tatu, nikirudi wakati wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Recently nimepata promotion nikakwenda department nyingine.Aliyekuwa bossi wangu ambaye nilimuheshimu sana kama baba yangu akanipigia simu akiniambia twende lunch.Tulipoenda lunch akanieleza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
considering the fact kwamba i am now SERIOUSLY committed myself to me,my life,my family and i can someone please give me tips on HOW TO DUMP A GUY(external works).......?! ahsanteni sana...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
WAGANGA WENGI WA KIENYEJI WAMEKUWA WAKILINADI KUWA WAO WANA DAWA ZA KUONGEZA MIVUTO ILI UPATE MSICHANA UMTAKAE. USIDANGANYIKE NA ULAGHAI WA WAGANGA, HAPA PANA VIJI MAMBO VICHACHE VYA KUKUSAIDIE...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Semeni tu kama kuna mtu kapewa talaka tutasuruhisha Kama kuna mtu bado anashindwa kutongoza tutamfundisha kama kuna mtu anatafuta mchumba wapo wamejaa tele Kama ndoa zina migongano wapo wataalam...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
wakulu nimekuwa najiuliza kila mara kuhusu hili lakini no answer sijui na wenzangu mumewahi tokewa?Lini umekasirishwa na mwenza wako na kudiriki kumwambia wewe ngoja tu siku yako inakuja...mie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani nimesikia leo hili swala nkasema naweza pata mawazo hapa yenye maana kuna topic walikuwa wakijadili clouds fm ,,lakini ikanigusa nina mtoto wa mama mdogo ana miaka 23 mpaka leo ananuliwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu nimekaa tangu ijumaa kuu nikichungulia kama vile siamini kwamba JF ilikua likizo... i missed every inc and every second of those days... yes i was on holiday, but i really missed every bit...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Dada zangu hivi kwa nini wengi wenu sio wote lakini before marriage mnakuwa wapole na kuonesha nia ya mme mtarajiwa kuvutiwa na kuolewa nanyi lakini mkiwa ndani ya nyumba basi yanaanza makucha...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Nalisifu Komamanga kwa ladha ya mdomoni Lenyewe ni tumaini kwa utamu namba wani..... Annina
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Jamani avumaye baharini kumbe papa wengine wamo,mchumia juani hulia kivurini,mganga na njaa hafi masikini...ni tatu lkn zina maana kiao jamani...nipeni hoja zenu nyie kinadada maana wengine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Wapenzi habari za masiku kadhaa.Nimatumani yangu kuwa wote tu wazima na tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kila siku...Nilukuwa mbali kidogo nba jukwaa hili kwa sababu mbalimbali zilizokuwa...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Back
Top Bottom