Chemistry and Love within JF

KIWAVI

JF-Expert Member
Jan 12, 2010
1,817
699
Waungwana

Nimesoma sana post za hili jukwaa la mapenzi kiasi kwamba napata kwamba ni rahisi sana kwa wanajamvi kufikia hisia za mapenzi!!!

Yaani jana wakati napitia thread humu, i definitely felt emotionally to Mwanadada mmoja simply kwa kuangalia post zake na hoja za nguvu na avatar yake

Na hii inakuwa very relevant hasa pale ambapo mtu una matatizo yako home au shule au job

DO you feel the same way??
 
Nahisi utakuwa umefall kwa first lady...angalia asije akawa mwanume mwenzako hii JF bwana we acha tu.
 
Waungwana

Nimesoma sana post za hili jukwaa la mapenzi kiasi kwamba napata kwamba ni rahisi sana kwa wanajamvi kufikia hisia za mapenzi!!!

Yaani jana wakati napitia thread humu, i definitely felt emotionally to Mwanadada mmoja simply kwa kuangalia post zake na hoja za nguvu na avatar yake

Na hii inakuwa very relevant hasa pale ambapo mtu una matatizo yako home au shule au job

DO you feel the same way??
kama ukiwa unasoma thread tu unataka kum-Woua huyo mwandikaji,
Sasa ukipita njiani na kumwona demu swafi si unanyakua tu?
na mara ngapi unakuwa na matatizo?

Hilo nalo tatizo!!
 
sio siri wakuu, hii kitu ipo!

hata mimi nimefall in love kwa annina japo avatar ake ina maji na mawe kama beach za mwanza!!!!!!!!
 
Anahitaji maombi huyu!

Jamani huyu jamaa wala hahitaji maombi.Ni kawaida kwa watu kufall in love kwa dizaini hii...Kuna circumstances nyingine unaweza ukashangaa,tukiambaana humu ndani kila mtu aeleze alivyompata mwenzi wake utaacha mdomo wazi....mwacheni aexpress feelings zake....au umesahau ule wimbo wa Boys to Men wa I Knew I loved Before I met You
 
kama ukiwa unasoma thread tu unataka kum-Woua huyo mwandikaji,
Sasa ukipita njiani na kumwona demu swafi si unanyakua tu?
na mara ngapi unakuwa na matatizo?

Hilo nalo tatizo!!

Yani hujanielewa... hii sio tatizo kwani ku-admire mtu si tatizo... ninachouliza je kuna watu ambao kwa kusoma tu humu JF wanaingiwa kiwewe na mtu mwingine hasa wa jinsia tofauti??

Nasema hivyo kwasababu kuna post za wanawake humu huwa zinanifanya nihisi wanajua nitakacho

kama hilo ni kosa basi... i dont wanna be right!!
 
Jamani huyu jamaa wala hahitaji maombi.Ni kawaida kwa watu kufall in love kwa dizaini hii...Kuna circumstances nyingine unaweza ukashangaa,tukiambaana humu ndani kila mtu aeleze alivyompata mwenzi wake utaacha mdomo wazi....mwacheni aexpress feelings zake....au umesahau ule wimbo wa Boys to Men wa I Knew I loved Before I met You

Thanks Mkuu

Labda kosa langu ni kuiweka kimahaba zaidi... kumbukeni kuna watu wamekuwa marafiki wa kweli through JF, hawakujuana kabla lakini kwa sas ni ndugu wa kufa na kuzikana

Nimeiweka kimapenzi kwa sababu aliyenichanganya ni mwanamke... kosa lipi??

Hebua ngalieni kwenye ile list yetu ya contacts/frinds... utaona ni watu ambao wanashare common interest

kosa langu lipi??

Au mnataka ni-match muone ninavyoona watu wanavyojibu post za watu humu kwenye hili jukwaa??

Niacheni nivutiwe na huyu dada... tena namuandikia verse kabisaaaaa yaishe,
 
Yani hujanielewa... hii sio tatizo kwani ku-admire mtu si tatizo... ninachouliza je kuna watu ambao kwa kusoma tu humu JF wanaingiwa kiwewe na mtu mwingine hasa wa jinsia tofauti??

Nasema hivyo kwasababu kuna post za wanawake humu huwa zinanifanya nihisi wanajua natakacho

kama hilo ni kosa basi... i dont wanna be right!!

Nimeipenda hii! standing firm on what you believe! safi sana.!~
 
kijana kapenda mlio.. anahitaji msaada sasa wa kumuona huyo punda kama ndie au sie

msaada tafadhali
 
Unajua kwa uhakika wa asilimia 100 kuwa hao ni wanawake?

hhuyu dogo atajulia wapi wakati bado ana ile fantsy ya wanawake wa wenkye kalenda??

vipi ukiambiwa mwanajamii one ni mwanaume tena injinia wa mlimani tena anaenda gym kila siku utasemaje?
 
vipi ukiambiwa mwanajamii one ni mwanaume tena injinia wa mlimani tena anaenda gym kila siku utasemaje?

Heheheheheeee...si ndio hapo sasa. Haya mambo ya kwenye mtandao ni mambo ya burudani tu. Ukiyachukulia serious utakosa raha bure!
 
Back
Top Bottom