Wivu wa Mapenzi

ABEDNEGO

Senior Member
Joined
Aug 20, 2009
Messages
109
Likes
2
Points
0

ABEDNEGO

Senior Member
Joined Aug 20, 2009
109 2 0
Naomba maana halisi ya neno hili na jinsi linavyotumika,Kwa mfano asubuhi hii nimesikia kutoka Redio moja kuwa mtu mmoja huko Rombo Mkooani Kilimanjaro amejiua na kumua mkewe kwa kile kinachoitwa wivu wa mapenzi,Baada ya kugundua mke wake anatembea nje ya ndoa na rafiki yake.Wivu ni upi hapo na uhalisia wa tendo la wivu ukoje?
 

Upanga

Senior Member
Joined
Jun 18, 2007
Messages
135
Likes
23
Points
35

Upanga

Senior Member
Joined Jun 18, 2007
135 23 35
Wivu hauna measurement kama vile cm,kg,second etc huwa ni hali ya maumivu yanayotokana na kumpenda mtuuu ambaye uko na mahusuiano naye kisha ukagungdua au ukaambiwa naye anatembea na mtu mwingine na ukatapata uthibitisho hapo huwa kuna na hali ya mauumivu yasiyo pimika toka ndani ya moyo wako.
Kiwango cha kuvumilia maumivu hayo kinatofautiana mtu na mtu!!!!! matokeo yake wakati mwingine huwa hayo unayoyaulizia hapo.
 

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
6,809
Likes
367
Points
180

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
6,809 367 180
Kikubwa hapa ni kujifunza kusamehe! Unatakiwa kuwa tayari kusamehe NO MATTER WHAT! Ukishaweza kusamehe chochote utachokosewa na yeyote ni njia kubwa na tiba mbadala ya kujinusuru na kumezwa na hasira zitokanazo na machungu ya kuumizwa!

Tujifunze kusamehe; maisha yenyewe ni mafupi haifai kujidhulumu kikatili namna hii!
 

Forum statistics

Threads 1,189,307
Members 450,597
Posts 27,631,832